Wanawake huua waume zao ili warithi mali

Wanawake huua waume zao ili warithi mali

Mpaka wa leo hii sijajua wadada huwa wanapendelea nini haswa katika mahusiano unaweza ukawa na kila kitu cha thamani wakakukimbia unaweza ukawa kapuku bado tena wakakukimbia dah.
 
Huwa inakuwa hivyo kwa sababu MUNGU anafata kanuni zake. Tatizo litatatuliwa iwapo kanuni zote za MUNGU zitakua applied otherwise ni kusugua mpaka ujifunze.
Naomba nitajie hizo kanuni za Mungu.
 
Naomba nitajie hizo kanuni za Mungu.
Sheria zake kwa mfano amri kumi za MUNGU, amri juu ya namna ya kuhukumu watu kulingana na makosa yao, zaka, mzaliwa wa kwanza, maungamo ya dhambi, utaratibu wa mume na mke kuishi, talaka, kuwaheshimu wazazi, viongozi n.k

Kwa kifupi kila kitu kina taratibu/kanuni yake labda kama una tatizo uliweke hapa tulitatue.
 
Hili swala nimelisikia sana kwa ndugu wenzetu wachaga wa Machame. It's a spiritual impartation iliyoanza kwa ma ancestors na kudevelop mpaka sasa na wala hakuna juhudi ya kurekebisha hii hali.
Itafikia kipindi no man will dare to get married with chame's women labda wao kwa wao ndio wanafutiana.
 
Sheria zake kwa mfano amri kumi za MUNGU, amri juu ya namna ya kuhukumu watu kulingana na makosa yao, zaka, mzaliwa wa kwanza, maungamo ya dhambi, utaratibu wa mume na mke kuishi, talaka, kuwaheshimu wazazi, viongozi n.k

Kwa kifupi kila kitu kina taratibu/kanuni yake labda kama una tatizo uliweke hapa tulitatue.
Sina tatizo binafsi ila nina tatizo na 'Watu wa Mungu' kucomplicate mambo. Nilijua tu utanijia na A Quadratic Equation kama jibu la swali langu.

Imani njema mkuu.
 
Ni kweli haswa kwa wanawake wa makabila haya: wachagga, wapare, wanyakyusa, Arusha
 
Back
Top Bottom