Wanawake huua waume zao ili warithi mali

Wanawake huua waume zao ili warithi mali

Unafikili mwanamke ana furahia kukuomba hela ya saloon? Akiona ume settle miradi isiyo na kazi kuifuatilia ana kung'oa tu. Watoto wako salama kuliko baba mwenye nyumba lazima akutangulize
Kwakweli kuna ukweli kias fulani hapa. nilikuwa nae ambae yeye akifanikiwa tu au akipata kazi napigwa kibuti kabisaa.. hataki hata kunisikia. Sasa balaa ni pale afukuzwe kazi.. huwa anakuja kwa kasi ya 4G na kuomba msamaha
 
Mungu atufunikw wanaume. T.D Jakes aliwahi sema "is not easy to be a man"
 
Hakuna Mwanamke mwenye akili nzuri na Upendo kwa mumewe na watoto anayefanya hivyo.
pia hakuna mwanamke anaependa afe yeye kabla ya mumewe kwani anahisi wanawe watapata tabu sana hivyo hurahisisha kazi ili abaki yeye na watoto. pili hakuna mwanamke anaempenda sana mumewe zaidi ya pesa hayupo
 
kuna aina za wanawake .
1.upendo wa dhati
unajua oa mwanamke unayempenda anayekupenda sio umeoa kisa mzuri au kimo oa mwanamke anayekupenda kukuheshimu kukujali kumtunza ni sawa ila akutambue unampenda uone anakupenda.
2.usioe mwanamke asiye na ushauri naanayependa kuchuna .
unaweza kuwa na mwanamke unampa kila kitu hela ya matumizi gari biashara unamfungulia ila bado haridhiki halafu wewe ndio unapiga bongo ili uendelee hajali hatakukushauri yupo tu .
3. Mwanamke mwenye tamaa .
unaoa mke ambaye anatamaa sana kila saa anadai vitu vya gharama maisha ya gharama za juu mpaka unaona hapa utakufa naugonjwa wa moyo .
4.Mwanamke mwenye roho mbaya
na chuki
usioe mwanamke ambaye hapendi ndugu zako marafiki zako au kitu chochote kinachohusiana na wewe .
5. Mwanamke asiye kujali.
unaoa mwanamke kisa ni mzuri anashepu ila huangali moyo wake nimtu wa aina gani ni mtu wanamna gani
je anakujali nakukupenda ?
6. Mwanamke msaliti
mwanamke msaliti sio mzuri kwa maana anakuwa hana aibu kukufanyia chochote.
7.mwanamke ambaye haogopi kutenda maovu.
huyu ni mmbaya pia kwa maana siku moja ataweza kukua wewe.

sasa kwa hawa wote niliowataja ndio wanaweza kukua why huna umuhimu kwao kwa hiyo any time your in danger.
 
Very true, pia kuna sumu ya taratibu huwekwa kwenye Chai unaondoka na ishu ya tatizo La ini, huku unauguzwa kwa upendo Mkubwa kumbe u marehemu mtarajiwa,kuwa masikini shida kuwa tajiri shida pia.
Hahahahah umemalizia kwa masikitiko sana,
 
Katika pita pita zangu nikasikia hizi habari eti kuwa wanawake wengi huua waume zao ili warithi mali na utajiri wa marehemu.

Hili si jambo geni vichwani mwa watu labda wale watoto wanaokua ila sasa jambo hili hufanyika kwa usiri mkubwa na imani ya kishirikina huhusika sana au mwanamke humfanyia vitimbi mumewe ili kummaliza polpole kwa presha na msongo wa mawazo.

Wanawake hufanya visa/viitimbwi kama koroga, kugawa uroga nje, kulalamika anaonewa,kumnyima unyumba mumewe, kumtengenezea baba chuki kwa watoto na kufanya michezo mingine miovu ili kumtanguliza mumewe chini.

Huu ni sehemu ya mikasa wangu nilioshuhudia na mingine niliyoona ni mama kuuwa watoto wake ili kijipatia mali. Kwa upande wa akina baba mambo yapo ila machache ukilinganisha na wanawake. Wanawake wamekua wakiongoza kwa hili pia kwenda kwa waganga…

Kwa hiyi ndugu zangu mkiona nyumba nyingi uswahilini na vijijini hazina baba fikirini mara mbili. Tunawapenda sana wanawake ila hili tuwaambie ukweli tuu waache maovu MUNGU hapendi na atawadhibu kwa matendo yao si muda mrefu.
Hata hivyo huwa namsihi mno kijana wangu asioe nyumba yenye mama pekee.
 
Hata hivyo huwa namsihi mno kijana wangu asioe nyumba yenye mama pekee.
Hawa wana inferiority complex na wasichana waliolelewa na mama pekee huchukia wanaume daima so ndugu zetu wanaojilipua ni vyema kufanya utafiti kwanza wasije kuingia kaburini mapema au wasiowe kabisa ili wabaki salama.
 
pia hakuna mwanamke anaependa afe yeye kabla ya mumewe kwani anahisi wanawe watapata tabu sana hivyo hurahisisha kazi ili abaki yeye na watoto. pili hakuna mwanamke anaempenda sana mumewe zaidi ya pesa hayupo
Wapo wanaopenda waume zao zaidi ya pesa ila idadi yao ni ndogo na si rahis kuwafahamu. Ila wapo na mifano hai ninayo..
 
kuna aina za wanawake .
1.upendo wa dhati
unajua oa mwanamke unayempenda anayekupenda sio umeoa kisa mzuri au kimo oa mwanamke anayekupenda kukuheshimu kukujali kumtunza ni sawa ila akutambue unampenda uone anakupenda.
2.usioe mwanamke asiye na ushauri naanayependa kuchuna .
unaweza kuwa na mwanamke unampa kila kitu hela ya matumizi gari biashara unamfungulia ila bado haridhiki halafu wewe ndio unapiga bongo ili uendelee hajali hatakukushauri yupo tu .
3. Mwanamke mwenye tamaa .
unaoa mke ambaye anatamaa sana kila saa anadai vitu vya gharama maisha ya gharama za juu mpaka unaona hapa utakufa naugonjwa wa moyo .
4.Mwanamke mwenye roho mbaya
na chuki
usioe mwanamke ambaye hapendi ndugu zako marafiki zako au kitu chochote kinachohusiana na wewe .
5. Mwanamke asiye kujali.
unaoa mwanamke kisa ni mzuri anashepu ila huangali moyo wake nimtu wa aina gani ni mtu wanamna gani
je anakujali nakukupenda ?
6. Mwanamke msaliti
mwanamke msaliti sio mzuri kwa maana anakuwa hana aibu kukufanyia chochote.
7.mwanamke ambaye haogopi kutenda maovu.
huyu ni mmbaya pia kwa maana siku moja ataweza kukua wewe.

sasa kwa hawa wote niliowataja ndio wanaweza kukua why huna umuhimu kwao kwa hiyo any time your in danger.
Umemaliza dada.
 
Kuna jirani yangu hapa ni mganga ninachojiuliza maswali ni kwa nini wateja wake wengi ni wanawake??yaani asilimia 90 ni wanawake,ana vibenchi hapa nje utawakuta wamekaa na wengine wanaingia kwa foleni,kwani nyi wanawake mna magonjwa sugu sana ambayo hospitali ni vigumu kupona??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom