Wanawake huua waume zao ili warithi mali

Wanawake huua waume zao ili warithi mali

You call yourself God's Believer, why not call people into the Light rather than have them believe there is the power of darkness that engulfs men through women?

Bandiko lako sio sahihi. As God's Believer you may have done more harm than good. Trying to imply that all kids who lost their Dad's was as a result of their Mother's evil deeds is not right at all.

Just because you grew up in a tiny village where such things happen does not mean the entire world does that so stop painting such a bad image of widows. Binafsi story hizi niliwahigi kusikia tu eti ni za Uchaggani.

Ifike mahali tuzidi kumuamini Mungu kwa kudra zake. Ambacho Mungu hajakuandikia hakitakufikia.

What happened to our belief in God?
Huwa nawashangaa sana mnaodhani ku-acknowledge uwepo wa nguvu za giza ni kutoamini uwepo wa Mungu. Kwahiyo Yesu alivyokuwa anatoa watu mapepo hakuwa na belief? Maana angeamini tu kuwa kwa kudra za Mungu hayatowadhuru.
 
So do you mean to say hizo nguvu za giza huwa zinaweza kukudhuru not even God can intervene?
 
hya uliyosema mtoa mada ukiwa na miaka chini ya 30 ki umri huwezi jua na kuyaamini. Vifo vingi vya waume ni vya kutengeneza. Wakati ninaoa mwaka 2010. Baba aliniusia kuwa nimepata rafiki wa kudumu na nimetengeneza adui wa kudum. Mara nyingi mke ukifanikiwa anageuka kuwa adui
Yaani ukifanikiwa mke anageuka kuwa adui
 
So do you mean to say hizo nguvu za giza huwa zinaweza kukudhuru not even God can intervene?
Hivi unadhani wote wanaopata matatizo ni sababu hawajamuomba Mungu?

God may or may not intervene kwenye shida zako. Anatumia algorithm gani sijui lakini nguvu za giza zipo na zinaweza kukudhuru ushinde kanisani au msikitini you are no exception!

Wenyewe watu wa Mungu wanaitaga 'Majaribu' ila ndo mulemule nguvu za giza zimekudhuru.
 
Hili swala lipo tens sana katika yetu ya kitanzania...!! Sambamba na hilo la kuua wapo ambao huwafukuza waume zao kishirikina na baba kuichukia nyumba aliyoijenga yeye mwenyewe kwa jasho na kuuchukia mji na kuhama kimazingara japo amewekeza hapo na mambo yanamuendea vizuri lakn cha ajabu nyumba,mji hata na miradi kuiona kama kinyesi kutokomea kysikojulikana na kumuacha mama anajivinjari.WANAWAKE NI MAMA ZETU WAMETUZAA NA KUTUNYONYESHA 2YRS TUWASHKURU KWA HILO LAKN NI WATU HATARI SANA HAWA.
 
kwa iyo unatushaurije wanaume wenzio TUSIOE AU
 
Mahusiano ni kitu cha ajabu saana, mi sometime nawaza kuoa ndugu yangu kidogo atakuwa na huruma kwani jini likujualo halikuli likakwisha tofauti na mwanamke ambaye hamna nasaba nae hana cha kupoteza anapotaka kukuua hafikirii mara mbili lkn ndugu kutakuwa na uzito flan hv kwani Damu nzito kuliko maji
Utamuoa dada yako!!!?
 
Kuna jirani yangu hapa ni mganga ninachojiuliza maswali ni kwa nini wateja wake wengi ni wanawake??yaani asilimia 90 ni wanawake,ana vibenchi hapa nje utawakuta wamekaa na wengine wanaingia kwa foleni,kwani nyi wanawake mna magonjwa sugu sana ambayo hospitali ni vigumu kupona??
Hili liko wazi mkuu wanawake ni wateja wakubwa wa waganga...
Tunaliongelea sana hili swala humu ndani.
 
kwa iyo unatushaurije wanaume wenzio TUSIOE AU
Awarness mkuu pia kuwaweka watu tayari ili siku mauza uza yakitokea wajisanue mapema.
Unapopata kitu kizuri ni vyema ushee na wenzio usiwe mchoyo kama ilivyo tabia ya watanzania wengi.
Haya mambo yapo kama hujaona mshukuru MUNGU ni neema hiyo.
 
Hivi unadhani wote wanaopata matatizo ni sababu hawajamuomba Mungu?

God may or may not intervene kwenye shida zako. Anatumia algorithm gani sijui lakini nguvu za giza zipo na zinaweza kukudhuru ushinde kanisani au msikitini you are no exception!

Wenyewe watu wa Mungu wanaitaga 'Majaribu' ila ndo mulemule nguvu za giza zimekudhuru.
Huwa inakuwa hivyo kwa sababu MUNGU anafata kanuni zake. Tatizo litatatuliwa iwapo kanuni zote za MUNGU zitakua applied otherwise ni kusugua mpaka ujifunze.
 
Hivi pia hakuna wanaume wanafanya ushirikina kwa wake zao? Kuwafanya ndondocha au zezeta wake zao ili watajirike? Mifano ipo sana. Kwa misingi hii omba sana ili Mungu aweze kuunganisha na ubavu wa ubavu wako. Kuna dada mmoja mumuwe alikuwa na wivu mke akifanikiwa. Kibaya zaidi mwanaume ni ma la ya mkubwa mno akawa anamuibia mke vitu vya thamani na kwenda kuhonga. Hii inafanyika akiwa ameishiwa pesa maana akipata pesa ni kuhonga tu anzia DSM mpaka ARUSHA ni vimada tu. Mwanaume kama huyu unasemaje? Msumeno ukate kuwili itapendeza.
 
Back
Top Bottom