God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
Katika pita pita zangu nikasikia hizi habari eti kuwa wanawake wengi huua waume zao ili warithi mali na utajiri wa marehemu.
Hili si jambo geni vichwani mwa watu labda wale watoto wanaokua ila sasa jambo hili hufanyika kwa usiri mkubwa na imani ya kishirikina huhusika sana au mwanamke humfanyia vitimbi mumewe ili kummaliza polpole kwa presha na msongo wa mawazo.
Wanawake hufanya visa/viitimbwi kama koroga, kugawa uroga nje, kulalamika anaonewa,kumnyima unyumba mumewe, kumtengenezea baba chuki kwa watoto na kufanya michezo mingine miovu ili kumtanguliza mumewe chini.
Huu ni sehemu ya mikasa wangu nilioshuhudia na mingine niliyoona ni mama kuuwa watoto wake ili kijipatia mali. Kwa upande wa akina baba mambo yapo ila machache ukilinganisha na wanawake. Wanawake wamekua wakiongoza kwa hili pia kwenda kwa waganga…
Kwa hiyi ndugu zangu mkiona nyumba nyingi uswahilini na vijijini hazina baba fikirini mara mbili. Tunawapenda sana wanawake ila hili tuwaambie ukweli tuu waache maovu MUNGU hapendi na atawadhibu kwa matendo yao si muda mrefu.

Last edited by a moderator: