Wanawake Hawapendi nini?

UPO SAHIHI!lakini mkuu tatizo la wanawake ni kwamba hawataki kuumizwa,au kuteseka moyoni kwa jambo lolote la kimahusiano.ndio maana wanaona bora umdanganye ili ASIUMIE!

na siku zote wanawake huwa wanapenda KUTONGOZWA MARA KWA MARA!ndo maana MAPLAY-BOY huwa wanawawin sana wanawake.so mkubwa kama utabahatika kuoa uwe unamtongoza waifu MARA KWA MARA!au vp?


Bosi wangu, uko sahihi namna gani! Yaani ukiwa unajua kurai mara kwa mara basi ndio rafiki yao mkubwa
 
hawapendi wanaume waongo na wenye kutamani kila 'dizaini' ya wanawake....
 
Hivi jamani hamjagundua kuwa wanawake nao wamekuwa mabingwa wa kudanganya cku hizz??? kama una tendence ya kumdanganya na wewe utaishia kudanganywa tu! Angalia usije ukapendwa kwa ajili ya uongo wako. Mpe nafasi akupende kama ulivyo
 
Wanawake hawapendi kudanganywa hiyo ni sumu wajameni kama unamwanamke mwingine kabla yake mweleze aamue mwenyewe kunyoa au kusuka au kama unamke mweleze akigundua hukumwambia ukweli penzi kwisha habari yake hapo. Pili wanawake hawapendi kuambiwa story za wanawake ambao mwanaume amewahi kuwa nao. Tatu wanawake hawapendi hata kidogo umwonyeshe yule mwanamke ulikuwa nae kabla yake. Lakini kiukweli wanawake hawapendi kusema ukweli kabisa pale utakapomuuliza aliwahi kuwa na wanaume wangapi atakwambia may be watatu lakini mmmhh utakuta wako 10 - 20, au aseme ukweli kuwa katoa mimba ngapi thubutu! akikuheshimu sana atakwambia moja au mbili kumbe hapo uhesabu 7-10.
 
sipendi mwanaume anayekunywa kupita kiasi/irresponsible...
sipendi mwanaume macho kumchuzi,:becky::becky:
sijui kwa vile sijiamini kama ni mrembo au...
ila sipendi mwanaume mko naye ,yeye kazi kupepesa macho kwa wadada wengine...

sipendi mwanaume mjeshi
mwanume unatakiwa uwe firm ila sio dikteta...:eyeroll2:

sipendi mwanume mbahili:becky:
 
Mwanamke hapendi umwambie ukweli.........ukisema ukweli tu juu yake umemkosa.
Mwanamke ni mtu wa kupendwa kudanganywa kama mtoto mdogo.......hapo sawa.

wote hamuwafahamu wanawake ndio maana mnasema hayo.
 
Acheni ushamba hajawahi kuwa na wanamke mkweli ndio maana mnasema hayo
 
hawapendi yafuatayo, moja, mwanaume asiyejiamini ktk maisha, mbili. Mwanaume mchafu au asiye msafi kimwili, tatu. Mwanaume malaya, nne, mwanaume mwenye papara na anaependa kujisifu, wanataka wasifiwe wenyewe. Tano, mwanaume mvivu kufanya kazi za kiuchumi na pia katika mapenzi.
 
stop this guys...WANAWAKE WOOOTE DUNIANI HAWAPENDI KITU HIKI..."mwanaume asiyesimamisha mboo au inayozimazima hovyo"...FULL STOP hayo yooote mlosema ni madoido baada ya ku-PASS MTIHANI HUU WA KWANZA
 
Wanawake hawawapendi wanawake wenzao,ukitaka amani mwende mkaishi mahali ambapo wenzao hawafiki,saa nyingine huhisi kuwa hata binti au dadaze watamchukulia. Wanawake hawapendani na pesa,ukiwanazo chache hunathamani,ukiwanazo nyingi u r 2 busy 2 satisfy her=atatafuta wasionazo wamuridhishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom