Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

haha true story asee, af baada ya kupta cku 2 au 3 ndo atajifanya anakuulza eti "hv mbn cku ile hukutumia kinga"
mi huwa nawajibu 'kwn we ulitumia?'
 
ukweli utabaki kuwa ukweli mkuu..wanawake hawajali kabsa suala la matumizi ya kondomu..wanakuwa kama wanabakwa yaani wanakuwa hawajawa tayari kwenda kufanya hilo tendo...askari gani anaenda vitani ila silaha?
watu wengine bwana sijui wako aje tu? wao sijui wanajua ni jukumu la mwanamme tu kuwa na kondomu..na ndiyo maana haza kondomu za kike hazitoki sana(hazinunuliwi sana)kwani wateja wake(wanawake) ni vimeo tu.
 
Wangapi mpaka sasa umetembea nao na hawajataka kutumia kinga? ukimuona huyo asokumbushia kinga ujue keshaumia anaejiamini anatembea nazo na hata akisahahu mechi itaghairishwa au zikanunuliwe,pole kwakuwapata walokwisha umia....
 
Na sijawahi kuziona hata kwenye maduka ya kawida hizo condom za kike kwa sababu wenyewe hawana haja nazo!
 
Wangapi mpaka sasa umetembea nao na hawajataka kutumia kinga? ukimuona huyo asokumbushia kinga ujue keshaumia anaejiamini anatembea nazo na hata akisahahu mechi itaghairishwa au zikanunuliwe,pole kwakuwapata walokwisha umia....

Acha uongo wako wewe,, eti wanatembea nazo.
Acha kujitetea ukweli ni kwamba hamjali kabisa matumizi ya condom.
 
Acha uongo wako wewe,, eti wanatembea nazo.
Acha kujitetea ukweli ni kwamba hamjali kabisa matumizi ya condom.
ndio mana nikakwambia hao ulitembea nao sio wote wasiojali.. lakini kama unadhani hawajali basi sio wote zidi tena kuchunguza...
 
Yuck!!

kwanza ilibidi ufungwe kwa ushenzi huo. Hata aibu hamna. At least ujinga una tiba inaitwa elimu. Huoni Kama Ilikuwa risky sana, wewe kuambukizwa magonjwa au wewe kumeambukiza au kumtia mimba?

Huu ujinga sijui ni utoto wa akili ndo unaomaliza watu. Mnaogopa Ebola lakini ukimwi mnacheza nao tu. Sawa tu.
 
Wengine hata ukivaa condom atakwambia condom inamuumiza au kukwaruza so ni bora upige kavu kavu
 
Kwa kweli condom ni mateso angalia ikipasuka raha yake hakuna mtu anahailisha mnabaki tumeuana aisee dawa ni kuacha uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…