Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Hali ya uchumi ni mbaya sana!

Mwana Dar es salaam sasa kasahau kwao,

chupi anavulishwa kama tambara la deki,

kageuza uzazi kuwa public tv.....

*kiufupi confidence ikizidi lazima majanga yatatokea tu...*

mmmmhhhhhh
 
Bra-joe

Mkuu sasa kwanini wao hata kama anajua ni showtime tu wanakuwa hawakumbuki matumizi ya kondomu?

sasa huyo anayemgegeda na yeye kwa nini asizingatie hayo matumizi ya ndom? Huu ni uzembe wa wote wawili.
 
Last edited by a moderator:

Ndugu, unajua kama muathirika akitumia vidonge vya kuongeza maisha (ARV) kwa muda mrefu halafu akienda kupima anaonekana hana HIV? Lakini anaambukiza kama kawa. Siyo kila negative ni negative, zingine ni negapositive, kumjua negapositive ni mpaka uwe unaijua historia yake. Ukienda kupima na mtu kama huyu inakula kwako.
 
sasa huyo anayemgegeda na yeye kwa nini asizingatie hayo matumizi ya ndom? Huu ni uzembe wa wote wawili.
Uzembe uliokithiri!! Yaaani "mgegedaji" pamoja na kuwa hio "Ndom" anatakiwa kuivaa yeye, bado anaona jukumu la kuhamasisha uvaaji liwe la "mgegedwaji" :confused2:
 
Faida ya zinaa utaipata tu, endelea na uzinzi. Kumbuka Mungu yupo no matter what!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Kaka Crimea hivi nani anapaswa kuanza kudai condom? Anayedumbukiza au anayedumbukiziwa?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mleta mada Umesema.Yani mdada kasoma na anajielewa kabisa,hamkuwahi kuwa na mahusiano ndo kwanza mmekutana for the first time anakuangalia tu unamwingia daaa! hata kuhoji wala kusema vaa.
Kuna mwingine wa chuo ilibidi nimuulize mbona unaniruhusu kizembe? et sijui ww mwenyewe,mtoto akipatikana tutalea.Huh! anawaza mimba na c UKIMWI ati!
BADILIKENI,kwa taarifa yenu ni kwamba mwanaume ukimwambia sikupi mpaka uvae atavaa nguo akanunue.
 
Yaani unasubiri kuambiwa "vaa"?? maisha ni yako bwana, jiulize Mara mia ni wangapi amewaachia bila kuvaa condom. Badala ya kujiangalia mwenyewe unakuja kumfunglia thread, wewe huogopi ukimwi? Huenda wewe ni mwathirika na unashangaa jinsi ilivo simpo kusambaza ugonjwa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…