Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

sometimes machangudoa wapo makin kuliko hawa madada zetu wa mtaani maana machangu weng lazima wawe makin kukumbusha!!!kiujumla wanawake wengi hawapend kutumia kondom na ndio maana huwa hawazikumbuki!!!
 

Kwa sababu tayari ni waathirika sasa mwenye jukumu la kujilinda ni wewe unayejijua mzima!
 

Hahahaha, hilo angalizo limenichekesha sana ingawa ndio uhalisia wenyewe....dakika mbili ngaa ushashuka na hujali,
 
Machangu wako makini kuhusu matumizi ya condom
 
Kweli JF hakuna wanawake wa kuchangia mada hii,kuna majike dume ndio maana yamekaa kimya.
 
Za kupotea?



Msome FP hapo juu, pasiwedi iliibiwa kwa dakika kadhaa. Ila ndo hivyo, read btn the legs, viukwimwi vyenywe vidogoo, havionekani hata kwa macho ndio vitusumbue?
ha haaaa, wewe kweli kongosho, lol!
Mimi muzima wa afya, hofu kwako my dear
 

Mkuu wangu, kwanini uache kutumia condom kwa sababu mmezoeana??hiyo sio sababu mkuu, acha condom kama mmezoeana na MMEPIMA AFYA ZENU, kabla ya hapo endelea kutumia condom ata kama mpo kwenye mahusiano kwa miaka 5, hakuna kuaminiana usawa huu.


Umenifurahisha kwenye hii style, lakini still ni salama zaidi bado ukiitumia kwa condom, acha kuonya ukali wa sumu kwa kuilamba.
 
Mmh, sasa kwa nini wanahangaika kupaka karolaiti usoni kujichubua? SI wajisugue na ndomu tu wachubuke?

Afu unakuta wengi wao wanasema mie ninapenda kugegedana bila kondomu kwa kuwa nikitumia inanichubua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…