Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
26,643
Reaction score
38,258
Inasikitisha sana kuona kwamba unamtongoza mdada na akili zake, na heshima zake, lakini mkifika kunako mchezoni, hadi mnakaribia kufanya tendo lenyewe yeye ana kuangalia tu.

Hakumbushii mambo ya matumizi ya condom wala kanakwamba suala la matumizi ya condom ni jukumu la mwanaume tu.

Hii tabia ya wadada kuwaachia wanaume waamue kama watumie kinga au la, inatokana na nini hasa?

Je, ni kuwaamini sana wanaume au ni kutokuogopa magonjwa, ikiwemo UKIMWI?
 
umetembea na wanawake wagap hadi sasa, inaokana ni muashelati mmoja wapo mzuri sana.

nakushauri ndgu tafuta mmoja mkapime. na mtakaye fanya naye mapezi bila codom.
 
umetembea na wanawake wagap hadi sasa, inaokana ni muashelati mmoja wapo mzuri sana.

nakushauri ndgu tafuta mmoja mkapime. na mtakaye fanya naye mapezi bila codom.

Wewe huyo mmoja uliyenaye unamuamini?mtoa mada anamaanisha wanawake hawazingatii matumizi ya condom,waulize wenye phamacy na maduka ya kawaida wanawake hawanunui condom ingawa wanangonoka kama kawa!
 
hao uliokutana nao washachoka na maisha kwahyo wanaona bora liende tu, uwe nao usiwe nao atamlinda mungu.....
 
Hii ni kweli kabisa wanawake hawana maamuzi ya kutumia kondomu kunako majambozi,anaweza akawa na uamzi huo ila ukimchezea sana yaani ukamuandaa kwa muda hata kama utajaribu kuingiza dushe yeye atakubali tu!!Yaaaaaaaani!!
 
Mimi pia huwa najiuliza swali hili. Asante mleta mada
 
Ni kweli kabisa, wanawake wengi sana mawazo ya kondomu huwa hawana na hii haijalishi ni mwanamke wa aina gani hata prof, doctor na wengine... sijui nini huwa kinawakuta ktk hali hiyo!! au akili huwa inawaruka?

Bila mwanaume kujiongeza yeye wala hata ahangaiki.
 
Hali ya uchumi ni mbaya sana!

Mwana Dar es salaam sasa kasahau kwao,

chupi anavulishwa kama tambara la deki,

kageuza uzazi kuwa public tv.....

*kiufupi confidence ikizidi lazima majanga yatatokea tu...*
 
kondomu ni jezi ya wazinzi acha kuisifia hapa kimtindo...

Tuliza mshedede wako huo ndani ya suruali...
 
Hii ni kweli kabisa, ata mie katika sample yangu ndogo nimeliona hilo, sijui kwanin wanajitoa mhanga hivyo kwa starehe ya muda mfupi, na wanawake kama hao wakikutana na mwanaume anayejijua ana ukimwi atatandika tu kavukavu.

Wanawake mnaojirisk namna hii ebu mjijali wenyewe, hakuna mtu wa kukulinda kwenye uhai, jilinde mwenyewe.
 
Kama kweli unampenda utamlinda! ulishawahi kujiuliza kwanini tangazo hili limekaa hivi?
 
Mleta mada kama unafikiri kondom inazuia Ukimwi, unajidanganya. Swala la Ukimwi ni kumuomba tu Mungu akuepushe na maambukizi.
Ukimwi unaambukizwa kwa kuzoeana, unampata mpenzi leo, mtatumia ndom kwa miezi 3 mwezi wa 6 mnaachana na matumizi ya ndom mnacheza peku, baada ya miezi 2 mnakorofishana, kila mmoja anatafuta mpenzi mwingine, halafu anafanya kama alivyofanya mwanzo. Hivi ndivyo Ukimwi unavyoambukizwa.
Njia nyingine ya kupata maambukizi ni mpaka ukutane na aliye athirika, ingekuwa kucheza peku ndo kigezo kikuu cha maambukizi basi kila mtu mzima angekuwa ameathirika, kwani hakuna mtu ambaye hajawahi kucheza peku.
Mwisho, kuna sisi wabinafsi wa kungonoka, tunamuandaa mwanamke kwa muda mrefu, ukiingia kati akili, mawazo na nguvu zote ni kwenye tendo, ndani ya dakika 2 tu mchezo umekwisha na hakuna tena kurudia mpaka siku nyingine.
Angalizo: hii ya mwisho ni mpaka uwe unajielewa kifedha. Vinginevyo utaachwa mpaka basi.
 
Hii ni kweli kabisa wanawake si watu makini katika kujilinda na endapo mwanaume atakuwa na magonjwa basi lazima waumie. nina uzoefu wa kutosha kwa hii kitu.
 
Bra-joe

Mkuu sasa kwanini wao hata kama anajua ni showtime tu wanakuwa hawakumbuki matumizi ya kondomu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom