Yaani unataka mwenzio akachukue bongo movie slay queen? Wale ni pesa tuWale wanakufundisha wao, kuna kijamaa nakumbuka kilikuwa kinambinuwa Wema Sepetu yupo ikulu kinafanana na Pimbi lakini Tive akee akafanikisha deal, Wema alikuwa anafokowa mishiko tu, ni moja ya vitu Wema akifeli ajilaumu mwenyewe hakuweza kuutumia wakati wake vizuri.
Aisee jamaa anatupiga fix kinoma. Eti wanawake wanavutiwa na haiba yako na sio pesa zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zingatia ushauri huu!
Pia wanawake hawapendi mwanaume mwenye tabia za Kike. Wanaofanana nao kitabia. Kumbuka wenyewe hawapendani Kwa tabia zao.
Miongoni mwa tabia hizo
1. Kutokujiamini
2. Kuringa
3. Kususa Kama jinga
4. Kupenda kubembelezwa Kama toto la kike.
5. Kushindwa kujieleza/kutetea hoja zako.
6. Kufikiri Kwa vile umevaa vizuri au unapesa ndio maana utamvutia.
Mwanamke havutiwi na kazi au pesa zako kimapenzi, isipokuwa anavutiwa na haiba yako kama Mwanaume.
Pesa zitamvuta akiwa na njaa au shida tuu.
Hivyo kazi yako nzuri au Gari lako halina mahusiano yoyote na hao viumbe.
Ili uwe na wanawake uzoefu nao. Wanawake wanapenda Wanaume wenye uzoefu nao.
Ndio maana wanataka wanaume wakubwa kuwazidi lakini sio Hilo wanalomaanisha isipokuwa wanataka wanaume wanaoweza kuwa-control, kuwafanya wawe wanawake.
Kama huna demu ni ngumu kupata Demu.
Wanawake ni Kama pesa, bila kuwa na pesa huwezi kuipata Pesa
Unaona sasa? Mtoa mada ana vyote hadi mwonekano mzuri bila kusahau swagger.Muonekano wangu pia ni wa tia maji tia maji sana. Yaani I don't fit anywhere
Hiyo nenda kaulize kwa Babu au Bibi mzaa ( Baba au Mama), tumia trick yoyote unayoweza, kisha utaleta jibu
Ila usiogope kusikia kusikia tatizo lolote alilolifanya ....linakuandama wewe.na mwisho kama ni swala huko nyuma walifanya maagano na mizimu, fanya mpango mapema kujinasua, hutanielewa kwa sasa ila utanielewa baadaye na kujinasua, kuna mawili, uende kanisani uombewe au utambike , , ,
Hiyo nenda kaulize kwa Babu au Bibi mzaa ( Baba au Mama), tumia trick yoyote unayoweza, kisha utaleta jibu
Ila usiogope kusikia kusikia tatizo lolote alilolifanya ....linakuandama wewe.na mwisho kama ni swala huko nyuma walifanya maagano na mizimu, fanya mpango mapema kujinasua, hutanielewa kwa sasa ila utanielewa baadaye na kujinasua, kuna mawili, uende kanisani uombewe au utambike , , ,
Sasa kama pesa inakuwezesha kukojoleaa pazuri kwa nini usitumieYaani unataka mwenzio akachukue bongo movie slay queen? Wale ni pesa tu
Kazi unaweza lakini? Au napo tia maji?Be my mother Theresa and take me in si ushajua sina vyote hivyo. Utabarikiwa
Sikatai. Ila huyu mwenzetu hapati mwanamke yoyote yaani na akipata mara moja wanadisapper.Sasa kama pesa inakuwezesha kukojoleaa pazuri kwa nini usitumie
Aisee jamaa anatupiga fix kinoma. Eti wanawake wanavutiwa na haiba yako na sio pesa zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ebu Kelsea njoo umwambie jamaa raha ya kidate na kidume ugly but kina pesa😂😂😂😂
Basi usizime simu, utaitwa kwenye usahili.Mungu hakuninyima vyote, huko ndio nakojidai. Eleweka and you won't regret
Huyu anakataliwa hadi na malaya. Sii balaa....kalogwa huyuSikatai. Ila huyu mwenzetu hapati mwanamke yoyote yaani na akipata mara moja wanadisapper.
Anataka kujua tatizo ni nini
Mhm sasa shida za mwanadamu zinaishaga wewe... Wanawake wenyewe walivyojaa tamaa🤣🤣🤣🤣🤣Siku ukiwa na pesa utaelewa vile nasema.
Mwanamke akikubali kisa pesa ujue sio yeye aliyekukubali Ila shida na matatizo yake ndio yamekukubali ili yaishe, subiri yakiisha ndio utaelewa wanawake hawahitaji Pesa.
Sasa unataka uingie kazini moja kwa moja bila kupita kwenye usahili? Nitajuaje kama kazi unaweza kweli?Gaidi wewe
Eleweka
Ha haa kuna tatizo mahaliHuyu anakataliwa hadi na malaya. Sii balaa....kalogwa huyu
Mhm sasa shida za mwanadamu zinaishaga wewe... Wanawake wenyewe walivyojaa tamaa🤣🤣🤣🤣🤣
Nyumbani kwangu kigamboniUsaili unafanyika wapi sasa
Wee wai mwanamke umeambia anapenda? Mwanamke anachotakiwankufanya ni kuheshimu tuu. Kupenda tunapenda sie wanaume.Sasa mtoa mada anazungumzia kupendwa sio kutamaniwa.
Pesa huvuta Wanawake wakutamani na sio wakupende.
Tofautisha hayo mambo mawili
Sasa mtoa mada anazungumzia kupendwa sio kutamaniwa.
Pesa huvuta Wanawake wakutamani na sio wakupende.
Tofautisha hayo mambo mawili
Wee wai mwanamke umeambia anapenda? Mwanamke anachotakiwankufanya ni kuheshimu tuu. Kupenda tunapenda sie wanaume.