Wanawake hawanipendi

Mkuu ukiingia kweny mahusiano usiongee sana kua mpenzi mtazamaji sana pale unapotakiwa kuongea ongea na sio sana usizidishe. . Pia jitahid uwe unapendeza na unyunyu uwe wa kutosha hapo utakula hadi wasiolika...pia punguza ubahili aiseh
Usingeweka hicho kipande cha mwisho ningesema unatania🀣🀣🀣🀣
 
Mtu akisoma vzuri ulichoandika hapa anapata jibu huna akili ndio maana hata malaya ambao hawachagui ila wanakuona Useless Hopeless... inshort hata ukipata mke atakuona the same na vijana mtaan wasio hata na maisha watakugongea
 
mtu akisoma vzuri ulichoandika hapa anapata jibu huna akili ndio maana hata malaya ambao hawachagui ila wanakuona Useless Hopeless... inshort hata ukipata mke atakuona the same na vijana mtaan wasio hata na maisha watakugongea
🚢🚢
 
Utakuwa na jinni MAHABA WEWe Mimi Sina huo mshahara nafanya kazi nalipwa buku tano kwa siku na nna demu mkali sometimes nawakimbia coz ya financial status wako kibao SI LAZIMA uwe na hela inaonekana unajiskia Sana na uto tuela twako🀣,au SIO mzuri kwenye kuwakaza vizuri,piga MASHINE acha utotoπŸ€£πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…