Wanawake hawanipendi

Wanawake hawanipendi

Lukaku marata

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2019
Posts
448
Reaction score
752
Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na number mara baada ya muda wengine wanakublock with no reason, wengine simu zao hazipatikani hadi leo yaani ili mradi tu nipate shida.

Sasa kuna siku nimeenda mitaa ya sinza kununua wale wadudu (japo sipendi hii tabia) nikapata huduma basi nikachukua namba ya huyo mdada, nikaanza kuchati nae pia anaanza kuniringia. Hadi nimechoka maana hadi malaya ananiringia, wakati ukiniona nina mwonekano mzuri, maisha mazuri halafu naringiwa.

Je, ni mkosi au vipi maana mara ooh wanaume tupo wachache, mara ooh kuwa na pesa utakula mademu mpaka basi ila kwangu sio hivyo.

Nawasilisha.
 
Wee una gundu mwanawane...yaani hadi malaya wanakublock😲😲😲😲
Hii mpya ya mwaka.
 
Utakuwa king'ang'anizi na majigambo mengi. Itakuwa ukipewa namba humpi mtu hata nafasi ya kupumuwa, msg za umekula nyingi, siku hiyo hiyo nakupenda za kumwaga na dedication za nyimbo za Celine Dion, hajakaa sawa ushamwambia mimi nina gari na pesa nyingi (huku shilingi kipande hutumi) hapo lazima upigwe block.

Mapenzi ya kihindi yanatakiwa yasindikizwe na pesa, ile baby umekula inasindikizwa na muamala. Sasa wewe unataka kumchatisha mtu na maswali ya unanipenda kweli, mimi mzuri??, Umelala na wanaume wangapi.
Tumia huo mshahara wa 1m+ kuhonga uone utakavyo gandwa.
 
Utakuwa king'ang'anizi na majigambo mengi.
Itakuwa ukipewa namba humpi mtu hata nafasi ya kupumuwa, msg za umekula nyingine, siku hiyo hiyo nakupenda za kumwaga na dedication za nyimbo za Celine Dion, hajakaa sawa ushamwambia mimi nina gari na pesa nyingi (huku shilingi kipande hutumi) hapo lazima upigwe block.

Mapenzi ya kihindi yanatakiwa yasindikizwe na pesa, ile baby umekula inasindikizwa na muamala. Sasa wewe unataka kumchatisha mtu na maswali ya unanipenda kweli, mimi mzuri??, Umelala na wanaume wangapi.
Tumia huo mshahara wa 1m+ kuhonga uone utakavyo gandwa.

Yaani hata sipo hivyo….Kuna mwingine mnachat vzr ghafla tu anapotea hapatikani
 
Back
Top Bottom