Wanawake hawana utaratibu wa kurudisha pesa ukiwaazima

Naunga mkono hoja...

Wanawake wengi JF wanakula nauli sana, njaa kali nilishawaona wadada watatu humu maarufu wanakula mahindi ya kuchoma,
wanadai eti ni ya hamu, Sasa ndio ule mahindi matatu usiku?

Mwingine ndio akawa anapukuchua kabisa anaweka punje kwenye handbag asiombwe, humu wengi wanaviribatumbo, wafupi, weusi na wanene kama pipa.
 
Kuna mmoja ilibidi nitumie Hadi nguvu ya serikali za mitaa ndio nikalipwa...sabubu niliopa papuchi akachomoa nikaona isiwe kesi....mwingine alikuwa anauza duka la hardware ilibidi nijifanye nakompa mzigo ndio kesi ikafika Hadi kwa mwenyekiti
 
Back
Top Bottom