Wanawake Hawa wawili kiboko na nimewaogopa...!!!!

Wanawake Hawa wawili kiboko na nimewaogopa...!!!!

Huyo mke wa Fundi nae anagongwa na mtu mwingine ndio sababu ameona bora amdhalilishe mme wake ili mambo yake yakae sawa. Wape muda tuu utauona ukweli huu mkuu!

Hata Mimi nimewaza kitu zaidi imenishangaza,, inamaana wanawake wameaanza style hii wanapogundua nyumba ndogo za waume zao??? Hebu waje watuambie kama ndio mtindo mpya wa kukomesha tabia hii cc. Madame B lara 1 na wengineo...
 
Last edited by a moderator:
Sasa busara gani tunaweza msaidia bwana fundi kwa wakati huu maoni yako mkuu....
cha kufanya we mpigie simu huko aliko ili atambue kilichotokea nyumbni kwake ili ajiandae atokaje kwani atapata mshtuko akirudi na kuona asiyoyatarajia
 
Heheheheh

Yaani mtu abebev mwanae aniletee

Eti alikuwa anatembea na mume? Walitembelea nyumbani kwangu?

Si ampeleke walipokuwa wanakutana na kugegedana

Ila mor pole fundi
 
Kwanini asiende kwa m2 mwingine akaamua kwenda kwa fundi?

Kusingiziwa kupo , sio wote wanaokwenda jela wanamakosa ya ukweli, wengine wamesingiziwa tu for certain interests!na wakati mwingine sheria inavaa miwani ya mbao haki haitendeki!
 
Imezoeleka kuwa wamama na wadada wengi hugombana wenyewe kwaajili ya mume / mwanaume. lakini Leo mpaka naandika kisa hiki Kuna jirani yangu (fundi) sio jina halisi alikuwa na small house bila mkewe kujua,
sasa small house ina mtoto na jamaa alikuwa kapunguza matunzo, kwahiyo mdada kabeba mtoto mpaka hapo nyumbani kwa fundi, kafika kamkuta mkewe fundi kajieleza yooote A to Z mkewe fundi kaita mjumbe bila fujo wala ugomvi kamjulisha ugeni na uamuzi aliouchukua ni kumzuia mgeni anamsubiri mumewe amfumanishe hapo hapo😕😕 hapo ndipo kisanga kilipo na fundi alikuwa anaheshimika mtu swala5 najiuliza nimsaidiaje hapo jirani yangu maana, watu wamejaa wanasubiri kitachojiri,, uswazi hakuna dogo?!! Lol

Hakuna cha kumshauri, atoe hela ya matumizi.
 
kama hayupo hme mwambie asije
 
kama hayupo home mpigie mwambie kila kitu ili asionekane eneo la tukio,ni bora sana kumfichia aibu mwanaume mwenzio
 
Wewe huna hata Imani na waume wa wenzako Yaani na Hilo walofanya wanawake wenzako ni sahihi kweli? Passion Lady

sahihi kabisa kwa sababu
huyo fundi kakosa uaminifu ndoani
na si bora angeoa mke wa pili kuliko
zinaa aliyoifanya,haya kilichomshinda kutunza mtt?
si ameyataka!!tena walitakiwa wamchangie wapige akomage!!
 
Back
Top Bottom