Jizi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 300
- 304
Umemaliza kila kitu. Agiza K Vant kubwa kwa gharama zako mwenyeweMwanamke yeyote ni hatari kuwa naye kama hujiamini.

Umemaliza kila kitu. Agiza K Vant kubwa kwa gharama zako mwenyeweMwanamke yeyote ni hatari kuwa naye kama hujiamini.

Tena walimu ndo hatari kabsaaa maana wanapenda mno vya buree..boda boda atamlaa....muuza chips atamlaaa na mtu yeyote wa halmashaur akimtokea lazma akubaliWalimu bado ni kimbilio la wengi wanaohitaji familia na mke bora!

Mwalimu ndio material salama.
Hizo material nyingine si salama japo si zote
It is just an assumption of most men of which I'm not sure if it still holdwengi
Neno!!!Wasanii (Mf Wanamuziki, waigizaji, dancer n.k)
Wanasiasa (Vikao, safari za nje na ndani ya nchi hapa lazima utamu utoke tuu).
Wafanya biashara za kusafiri hapa na pale.
Madaktari/Manesi (Wao hutumia muda mwingi kuhudumia wagonjwa na semina huko lazima wakung'utwe tuu).
Msanii (Huyu atakutana na kila aina ya kiumbe akiwazacho).
Mwanachuo au Lecturer wa chuo chochote (Huku ataona kila aina ya kiumbe akiwazacho na kikifika kwenye himaya yake lazima akinase tuu)
Wanajeshi (Kuhama hama lazima atabadilisha tuuu)
Bar maids (Huku atapata kishawishi tuu pale atakapoona watu wanatumbua raha)
Rubani, dereva (Hakuna asiejua kama kusafiri ni raha)
Wahudumu (Hakuna asiejua kuwa huduma nzuri huleta urafiki, mtu akikupa huduma nzuri mfano chakula kwa wale mama ntilie lazima urudi tena hapo urafiki huanza na urafiki kati ya mwanamke na mwanaume ni NGONO, wahududu wa watalii, vituo vya ndege, benk n.k huko kuna madudu mengu)
USHAURI WANGU TAFUTA MWANAMKE AMBAE UNAJUA HAKUTANI NA WATU WENGI MAENEO YA KAZINI AU ANAFAHAMIANA NA WATU WENGI. TAFUTA MWANAMKE AMBAE HAFANYI KAZI ZA KUTISHA KAMA MADOKTA AU MANESI AMBAO USIKU, MCHANA N.K NI MIDA YAO YA KAZI.
Tafuta mwanamke ambae unajua mda wote utakua nae hata maeneo ya kazi yawe kaibu. Umbali ni chanzo cha usaliti, hakika nawaambieni hakuna wapenzi wanaokaa mbali wasisalitiane huo ni uongo mkubwa!
Hakikisha kuna mawasiliano mazuri, amani na hamu ya tendo kati yenu. Tofauti na hapo kuna jambo.
Raha ya mwanamke wa karibu hata akikusaliti utajua tuu maana dunia haina siri, lazima taarifa utazipata tuu hata afanye kwa siri namna gani lazima watu wa karibu watafahamu.
Umbali na kutokua na muda wa kutosha ni sababu kubwa ya wapenzi kusalitiana.
Pia nature ya mtu hata mkae 0 distsnce kama ni mtu wa kutoa atatoa tuu.
lazima tuoe mana kiuhalisia kama hakuna binadamu mkamilifu vivo hivyo hakuna mwanamke wala mwanaume mkamilifu....ukisubir aliyekamilika asilimia 100 utakaa hvohvo.....Tutaoa kweli,kama ndio hivi! naona umemaliza wote hapo...
Mkuu naomba unipe link nikidownload ndugu kwa version ya kingereza na kisawahili pia kwa pamoja. alfu lela ulela kwenda kuibadilisha kwenda kingereza ni ngumu.Si kweli.
Unaweza kuwa na mwanamke 24/7 na kama ni mzinzi atafanya uzinzi na wewe upo unamlinda.
Na unaweza kuwa na mwenye fani yeyote kati ya uliozitaja na asiwe kama ulivyosema.
Soma kitabu cha Alf Lela Ulela cha kingereza ndiyo afadhali kimesheheni (cha Kiswahili kimekatwa katwa sana). Au kama unajuwa Kiarabu tafuta cha Kiarabu, kuanzia mwanzo wa hicho kitabu utazisoma hila za wanawake na jinsi usivyoweza kuwazuia. Utakuna humo na kisa cha Kashkash na binti wa mfalme. Kashkash alimfungia huyo binti kwenye masanduku saba na anamchunga kutwa kucha licha ya kumweka chini ya bahari lakini aliliwa mara 100.
Njia nyepesi na rahisi ya kufanya mwanamke yeyote asiwe mzinzi ni kumridhisa, vipi? Soma hiki kitabu: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
MKUU UMETISHA NATAMANI KUJUA JINSIA YAKO.Acha woga mkuu ....Ukitaka unaoa mwanamke yoyote hata awe raisi wa nchi kikubwa upige pumbu kisawasawa mpaka akiondoka kwenda kazini amenyooka.
Mkuu ahsante...Jinsia yangu haitakusaidia lakini fact ni kwamba PUMBU HUNYOOSHA WATUKUTU WOTE!!!!!!MKUU UMETISHA NATAMANI KUJUA JINSIA YAKO.
Naomba namba ya simu ya huyo bwana anayetoa mwanamke mwema nami anipe aliye mwema.Mke mwema atoka kwa bwana....haijalishi Ni nes,mwanasiasa, au rubani.
Eeh ni kweli hata mimi hapa jf kuba mwalim namvizia vizia japo naona mambo hayajipiNami nilikua na wazo kama lako lakini awe mwalimu wa vidudu, shule ya msingi na mwisho sekondari. asiwe lecturer