Akifuatilia mshara wilayani amekwishaMwalimu ndio material salama.
Hizo material nyingine si salama japo si zote
marketable kwenye ndoaMlengwa kivipi mkuu?
But
Nakuja pm tuyajenge jamani am tired of living lonely, i must find someone to live my life for!Kwa mawazo hayo sasa mtaoa kweeli?? Na akina sie tutaolewa kweeli??? Ngachokaa
Sorry, NimewahiwaaaaNakuja pm tuyajenge jamani am tired of living lonely, i must find someone to live my life for!
Inatokea mara mojaAkifuatilia mshara wilayani amekwisha
Kweli umevurugwa!!! Ndio nini hicho umeandika?Acha unafiki wewe najua upo kwenye hilo kundu hapo juu.
Upo mama? Mekumithi.
Bwana aliona vema kukaaa Bila mke ili kupata wasaa mwingi zaidi kulisha kondoo.Kama mke mwema hutoka kwa "bwana", huwa najiuliza inakuwaje bwana mwenyewe hana mke.
Walimu ni chaguo sahihi.Walimu ni kimbilio la wasio jiamini.