Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Mimi kila nikiingia PM nakutana na warembo walioko abroad mpaka nimeamua kutulia tuu
 
Mkuu hujawahi kumwomba namba mwanamke ambaye umeonana naye on the spot?

Approach yako ndiyo inayokubeba, siyo swala la kumzoea. Otherwise hata hiyo PM itakuwa wazi na hautajabiwa.

Learn the language, learn the style, and be confident.
Ulimwengu wako ni kama haupo kwa Dunia ya wanawake waTanzania, hapa JF.

Uhalisia unakuacha!!
 
*Unafunga Pm badal ya kufunga Miguu*

anyways Wenye mioyo ya kwenda Pm za wadada humu Hongereni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…