Kumbe mpo wengi hamjifunzi toka kwa wenzenu majanga yanayowatokea. Inakuwaje unautoa mwili wako sadaka kwa waume za watu halafu mwishoni unaanza kuforce ndoa mpaka viongozi wa dini wanasema no.Aaaaaaah! Wapi! TUTABANANA HAPO HAPO! KAMA SUMU MBONA PANYA HAIUI!
Hivi mtu mzimaaa, na midevu mpaka ya chini ANAIBIWAJE LABDA? Angekua under 18 labda ila anaikimbiza 40 hukooo! Thubutuuuuuu! ANAENDA MWENYEWE BANAAAA! AKINOGEWA ANAOA JUU YA NDOA! Kantangazeeeeeeeee!
Hahaaaa! Kwa hio ulitaka awe 40 YEARS OLD VARGIN!?Kumbe mpo wengi hamjifuzi toka kwa wenzenu majanga yanayowatokea. Inakuwaje unautoa mwili wako sadaka kwa waume za watu halafu mwishoni unaanza kuforce ndoa mpaka viongozi wa dini wanasema no.
Mumeo sio mtamu?
Safi sana ndito, takwenya. Hivi haka kawimbo aliimbaga nani vile? Kweli fanyeni kazi mkishirikiana na WAMA kwa maendeleo.
Hakika hakuna kuiba ila sasa mwenyewe akijua inakuwa balaa eti. Kwani huyu dada mimi simuelewi alikosa mchumba mwingine maana anamvuto eti.Aaaaaaah! Wapi! TUTABANANA HAPO HAPO! KAMA SUMU MBONA PANYA HAIUI!
Hivi mtu mzimaaa, na midevu mpaka ya chini ANAIBIWAJE LABDA? Angekua under 18 labda ila anaikimbiza 40 hukooo! Thubutuuuuuu! ANAENDA MWENYEWE BANAAAA! AKINOGEWA ANAOA JUU YA NDOA! Kantangazeeeeeeeee!
Ameshakoma sasa lo!
Akifikiria alivyotangazwa tu hatamani hata kutoka hapo kitandani!!!
angecheleweshewa maziwa huyu angetuacha