Wanawake fanyeni kazi Songeni mbele kwa maendeleo,acheni waume za watu...

"Did He Propose? Ooh Yeees, Why Not!!..." Ndo Maneno Yao Wakiwa Wanaji-proud Ili Wawakoge Mashoga Zao, Hata Kufanya Ka-analysis Kidogo HAKUNA!!! Ni Emotions Tu Kwa Kwenda Mbele... Mwanamme Ana-propose, Na Hayupo Mwanamke Asopenda Au Kujisikia Ufahari Akeshatupiwa Marriage Proposal..... TUTAELEWANA TU!!
 
Yelele yelele wanawake, yelele yelele kinamama,
fanyeni kazi kwa maendeleo msonge mbele *2.

Kama mke wa mtu ni sumu basi hata mume wa mtu ni sumu. Jifunzeni kupitia mliyoshuhudia na kusikia.

kwa hiyo yelele yeleleeee yamemshinda ameamua kudandia mume wa mtu?
 
Safi sana ndito, takwenya. Hivi haka kawimbo aliimbaga nani vile? Kweli fanyeni kazi mkishirikiana na WAMA kwa maendeleo.

Haka kawimbo aliimba mdada mmoja hivi ambaye juzi alinyang'anywa kitumbua mdomoni baada ya kutaka kufunga harusi na mume wa mwenzie
 
Age yangu haikuhusu ila kila umri unafanya yake

age group yako hainihusu nilichomaanisha kwa sentensi yangu ni kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa kuwa wanaishi muda mrefu ndio maana nikasema above 50 yrs wengi ni wajane ila below that wanaume wako wengi wa kumwaga.
 
ptuuuuuuuuuuuuu uharo mtupu.
thread imekaa kike kike sana,hivi vijembe vya vikao vya akina mama yeyo na mishangingi chupi mkononi.
Hamna la maana wanalofanya zaidi ya head news kama hizi.
Mii mwenyewe najishangaa kuingia choo cha kike,ndoo maana harufu ni too much.
ptuuuuuuuu....mmmhhhhhh,!

Mhudumu lete Zanzi.
 
mkuu ukiweza ni pm nilitoa
ofa watu waje watembelee mrad wetu wa kuku wa mayai nikasema
ntawafundisha bure niliishia kugawa namba za cm tu hakuna aliefika hata
mmoja.

Mi napenda sana mradi huo,uko wapi ndugu unipe uzoefu.
 
Na nyie wanaume mliooa acheni kutamani wanawake wasio wake zenu!
Kwani mlikosea kuoa? Tulieni na wake zenu mjenge familia zenu, siyo kukimbizana na masuria mnawafedhehesha na kuwadharaulisha wake zenu!
Mnawatesa kisaikolojia watoto wenu kwa kuona baba anaaibishwa kwenye vyombo vya habari kwa utapeli wa ndoa feki
 
Hakika hakuna kuiba ila sasa mwenyewe akijua inakuwa balaa eti. Kwani huyu dada mimi simuelewi alikosa mchumba mwingine maana anamvuto eti.
Jua lishazama huyo bidada, anaitafuta 40 kwa sasa.. kawachanganya wanaume na kuwavuruga, sasa anaitafuta ndoa kwa nguvu. hatimae ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu
 
age group yako hainihusu nilichomaanisha kwa sentensi yangu ni kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa kuwa wanaishi muda mrefu ndio maana nikasema above 50 yrs wengi ni wajane ila below that wanaume wako wengi wa kumwaga.

Hapo ndo tunaelewana sasa
 
Back
Top Bottom