Sababu zinazowafanya wanawake wapende waume za watu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
Wanawake wanapenda kuwa michepuko ya waume za watu kwa sababu wanaamini mme wa mtu mchana yupo kazini usiku yuko nyumbani hivyo ana muda mchache wa kufanya uzinzi maana lazima kila siku arudi kwake.

Ma single boy wanaonekana malaya kwani wako free anytime kuingiza mzoga ghetto. Kingine ni matunzo mume wa mtu anazingatia kumsuka mkewe na kumnunulia nguo mpya ili apendeze hivyo ashazoea kumtunza mwanamke ndo maana milupo inaona mwanya mzuri wa kuchepuka ni ule mume wa mtu.
 
Nyongeza zingine mojawapo...

Mume wa mtu apigi mizinga kwa mchepuko bali kwa mkewe kama amefulia.. akipiga mizinga mchepuko huyo hafai ni mume Mario tu hana tofauti na single men.

Mume wa mtu anakuja kwako kupata raha sio kulelewa kama kufuliwa nguo, kununuliwa chupi etc

Ila waume wa watu wengine mabegwe.. wote mkaege na wake zenu.
 
Back
Top Bottom