Wanawake fanyeni kazi Songeni mbele kwa maendeleo,acheni waume za watu...

Nalaaa mwenye problem na opinion yangu akumbuke tu ITS A FREE COUNTRY! FREEDOM OF SPEECH! Nawajua hamkawii kunigeuzia kibao!
 
Watu mnahasira na ugumu wa maisha, mmpeta habari ya kuwaliwaza. Tumekwisha choka na thread za namna hii. Mkiwekewa uzi wa kuzalisha kuku bora na ufuguji wa kisasa hata thread hamfungui. Ndio maana tupo nyuma kimaendelea. Jifunzeni kujadili mambo ya msingi siyo kujadili watu. Siku tatu mpo matanga, pumba.u zenu
 
Hakika hakuna kuiba ila sasa mwenyewe akijua inakuwa balaa eti. Kwani huyu dada mimi simuelewi alikosa mchumba mwingine maana anamvuto eti.
vick kamata.jpg
Vicky akiwa na mchumba feck, mume wa mtu
 
Ameshakoma sasa lo!
Akifikiria alivyotangazwa tu hatamani hata kutoka hapo kitandani!!!

Ahahahahahaha unamaanisha ataendelea kusema anaumwa?
Ila kooooote hilo sakata halikuniwacha hoiii!
Hapa tu kolig,
"Siwezi kufunga ndoa kesho maana hali Yang hainirihusu kuvaa viatu virefu" sosi Mwananchi!
Khaaaa!
 
haahaaa twin huo ni mkosiii

Ni kweli twin ila aachwe sasa auguze majeraha yake in peace!!!
Fikiria kibuti cha kimya kimya tu ambacho mnakijua wawili tu kinauma,je hiki cha kutangazwa??
 
Watu mnahasira na ugumu wa maisha, mmpeta habari ya kuwaliwaza. Tumekwisha choka na thread za namna hii. Mkiwekewa uzi wa kuzalisha kuku bora na ufuguji wa kisasa hata thread hamfungui. Ndio maana tupo nyuma kimaendelea. Jifunzeni kujadili mambo ya msingi siyo kujadili watu. Siku tatu mpo matanga, pumba.u zenu

Ahahahahhahaha pole mwayego!
 
Ahahahahahaha unamaanisha ataendelea kusema anaumwa?
Ila kooooote hilo sakata halikuniwacha hoiii!
Hapa tu kolig,
"Siwezi kufunga ndoa kesho maana hali Yang hainirihusu kuvaa viatu virefu" sosi Mwananchi!
Khaaaa!
Uwiii!!
Imeingizwa lini hii kuwa kiatu kirefu ni kigezo muhimu cha ndoa kufungwa?
Alishachanganyikiwa koligi!!!
Alishaanza kujizoesha atakavyoitikia akiitwa Mrs. fulani kuanzia J'pili!!!
 
nakwambia nilicheka !
Hatar sana hiZ mambo!
Ila aliwaza nn?
Sipati jibu
 
nakwambia nilicheka !
Hatar sana hiZ mambo!
Ila aliwaza nn?
Sipati jibu
Alikuwa anaficha kichwa kisinyeshewe huku kiwili wili kiko nje!!!
Ukumbi umeshalipiwa koligi na watu wameshaandaa viwalo vinavyoendana na color of the day,unawaambiaje hakuna shughuli?
Alilazimishwa kufikiri kwa haraka atoe neno la kupoza hasira ya waalikwa wakati yeye mwenyewe akili ilisha stuck!!
 
Wanaume wachache, wanawake wengi

Kugoma kushare ni uchoyo

It depend na age group yako kama uko above 50 yrs wanawake ni wengi maana hili kundi limejaa wajane ila kama ni below that group wanaume wako wa kumwaga hata hakuna haja ya kushare!
 
Alikuwa anaficha kichwa kisinyeshewe huku kiwili wili kiko nje!!!
Ukumbi umeshalipiwa koligi na watu wameshaandaa viwalo vinavyoendana na color of the day,unawaambiaje hakuna shughuli?
Alilazimishwa kufikiri kwa haraka atoe neno la kupoza hasira ya waalikwa wakati yeye mwenyewe akili ilisha stuck!!
Watu walishashtukia wanadai warudishiwe michango yao maana hakuna arusi. Hapo ndo timbwili kali zaidi.
 
It depend na age group yako kama uko above 50 yrs wanawake ni wengi maana hili kundi limejaa wajane ila kama ni below that group wanaume wako wa kumwaga hata hakuna haja ya kushare!

Age yangu haikuhusu ila kila umri unafanya yake
 
Ni kweli twin ila aachwe sasa auguze majeraha yake in peace!!!
Fikiria kibuti cha kimya kimya tu ambacho mnakijua wawili tu kinauma,je hiki cha kutangazwa??

hahahaa ningemwambia mume anipe hata rafiki yake afiche aibu hiyo. .TZ nzima inajua tukio sidhan kama anahamu ya ndoa tena
 
Watu mnahasira na ugumu wa maisha, mmpeta habari ya kuwaliwaza. Tumekwisha choka na thread za namna hii. Mkiwekewa uzi wa kuzalisha kuku bora na ufuguji wa kisasa hata thread hamfungui. Ndio maana tupo nyuma kimaendelea. Jifunzeni kujadili mambo ya msingi siyo kujadili watu. Siku tatu mpo matanga, pumba.u zenu

mkuu ukiweza ni pm nilitoa ofa watu waje watembelee mrad wetu wa kuku wa mayai nikasema ntawafundisha bure niliishia kugawa namba za cm tu hakuna aliefika hata mmoja.
 
Back
Top Bottom