Wanawake fanyeni kazi Songeni mbele kwa maendeleo,acheni waume za watu...

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Yelele yelele wanawake, yelele yelele kinamama,
fanyeni kazi kwa maendeleo msonge mbele *2.

Kama mke wa mtu ni sumu basi hata mume wa mtu ni sumu. Jifunzeni kupitia mliyoshuhudia na kusikia.
 
yelelee yelele kina mama yelele yelele wanawake

wanawake na maendeleo tufanye kazi tusonge mbele
 
yelelee yelele kina mama yelele yelele wanawake

wanawake na maendeleo tufanye kazi tusonge mbele
Safi sana ndito, takwenya. Hivi haka kawimbo aliimbaga nani vile? Kweli fanyeni kazi mkishirikiana na WAMA kwa maendeleo.
 
Aaaaaaah! Wapi! TUTABANANA HAPO HAPO! KAMA SUMU MBONA PANYA HAIUI!

Hivi mtu mzimaaa, na midevu mpaka ya chini ANAIBIWAJE LABDA? Angekua under 18 labda ila anaikimbiza 40 hukooo! Thubutuuuuuu! ANAENDA MWENYEWE BANAAAA! AKINOGEWA ANAOA JUU YA NDOA! Kantangazeeeeeeeee!
 
Hivi wakuu mhusika mwenyewe wa wimbo bado kalala wodini ama keshatoka
 
Aaaaaaah! Wapi! TUTABANANA HAPO HAPO! KAMA SUMU MBONA PANYA HAIUI!

Hivi mtu mzimaaa, na midevu mpaka ya chini ANAIBIWAJE LABDA? Angekua under 18 labda ila anaikimbiza 40 hukooo! Thubutuuuuuu! ANAENDA MWENYEWE BANAAAA! AKINOGEWA ANAOA JUU YA NDOA! Kantangazeeeeeeeee!
Kumbe mpo wengi hamjifunzi toka kwa wenzenu majanga yanayowatokea. Inakuwaje unautoa mwili wako sadaka kwa waume za watu halafu mwishoni unaanza kuforce ndoa mpaka viongozi wa dini wanasema no.
 
Kumbe mpo wengi hamjifuzi toka kwa wenzenu majanga yanayowatokea. Inakuwaje unautoa mwili wako sadaka kwa waume za watu halafu mwishoni unaanza kuforce ndoa mpaka viongozi wa dini wanasema no.
Hahaaaa! Kwa hio ulitaka awe 40 YEARS OLD VARGIN!?

Bora yeye kachunaa wengine wanapigwa FREE P, day by day!
 
Hahaaaa! Kwa hio ulitaka awe 40 YEARS OLD VARGIN!?

Bora yeye kachunaa wengine wanapigwa FREE P, day by day!
Duh! Kazi ipo! Wanawake wengi wangekuwa na mtazamo wa aina yako ingekuwa full majanga.
 
Heheheheh ngoja amalizie dripu zake,

Mme wa mtu sumu
vicky kamata.jpg
 
Waeleze bhana yaan tumechunwa mpaka basi,hata supu hatupikiki tena.watoto wamerudishwa ada kisa haya mamichepuko jamani tuhurumieni...loading error...
 
Ameshakoma sasa lo!
Akifikiria alivyotangazwa tu hatamani hata kutoka hapo kitandani!!!
 
Aaaaaaah! Wapi! TUTABANANA HAPO HAPO! KAMA SUMU MBONA PANYA HAIUI!

Hivi mtu mzimaaa, na midevu mpaka ya chini ANAIBIWAJE LABDA? Angekua under 18 labda ila anaikimbiza 40 hukooo! Thubutuuuuuu! ANAENDA MWENYEWE BANAAAA! AKINOGEWA ANAOA JUU YA NDOA! Kantangazeeeeeeeee!
Hakika hakuna kuiba ila sasa mwenyewe akijua inakuwa balaa eti. Kwani huyu dada mimi simuelewi alikosa mchumba mwingine maana anamvuto eti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom