Wanawake bwana!

Wanawake bwana!

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Juzi mwanamke mmoja mjini Moshi ameshindwa kujitetea mbele ya baraza la wazee wa mila kwa kumsababisha mumewe kuvinjika mkono,
Kisa mwanamke alikua anapigwa na mume chumbani kwa bahati mbaya mume karusha teke mwanamke akakwepa,jamaa akateleza na kuvunjika mkono.
MASHTAKA yanayomkabili mke kwa nini alikwepa teke na kumsababishia mumewe kuteleza na kuvunja mkono?
 
Makamee hiki kisa cha Kweli au ucheshi tu....?
 
Last edited by a moderator:
Huu ni unyanyasaji sasa, mwanamke hapigwi labda itokee tu na hata ikitokea kuna aina ya upigaji sio mateke huyo jamaa nae alizidisha sana teke lilikuwa na nguvu sana.

Hao wazee waangalie upya sheria zao
 
Back
Top Bottom