Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Pole sana mkuu. Ila umepata funzo hutorudia tena ubwege wa kuwaamini,najua sasa utakua makini sana na hao watu. Najua ulikua unaambiwa unabisha na kujifanya kujua sasa utakua balozi mzuri wa kuwaambia watu kama ulivyofanya hapa. Pole.