Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini


Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,421
Likes
4,031
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,421 4,031 280
Kwa mda mrefu sana nilikua nasikia sikia tu baadhi ya wanaume wenzangu wakizungumza,,, nilikua nabisha sana mpka wengine mabishano yetu yalikua yanaleta mizozo ya kushikana mashati kutaka hata kupigana.

Yote ilikua ni kuhakikisha nawetetea sana hawa viumbe wa Mungu.

Lakini leo nimejionea na nimeamini kabisa.

Kwamba....

WANAWAKE NI MASHETANI,,,,,,,AND DONT TRUST THEM ANY MORE.,,,,,,,,NI AFADHALI NIKAAMUA KUWAGEUZA KANA CHOMBO CHA STAREHE KWANGU LAKINI SIO KUWACHUKULIA KAMA BINADAMU WENZANGU NA KUWAAMINI......

Not anymore.

Msiniulize nin kimenikuta ila eleweni tu hivo.

UPDATE.....

Wengi mmehitaji nieleze ilikuaje nisiwaache mna hang hang tu.....sasa ngoja nimalizie tu dukuduku lote .

From no where tu .........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.

Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.

Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....

Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.

Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.

Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""

Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""

Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.

Alijibu hivu.

""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""

Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa

Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.

Na hio ni leo kanifanyia hivo.

Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.
 
Mb-one

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
648
Likes
449
Points
80
Mb-one

Mb-one

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
648 449 80
umeibiwa nin blaza .....hvyo viumbe vimrshindikana ona kwa adam hadi sasa hvi tunahenya kwa sababu yao
History tells
 
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
3,978
Likes
1,182
Points
280
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2010
3,978 1,182 280
Kwa mda mrefu sana nilikua nasikia sikia tu baadhi ya wanaume wenzangu wakizungumza,,, nilikua nabisha sana mpka wengine mabishano yetu yalikua yanaleta mizozo ya kushikana mashati kutaka hata kupigana.

Yote ilikua ni kuhakikisha nawetetea sana hawa viumbe wa Mungu.

Lakini leo nimejionea na nimeamini kabisa.

Kwamba....

WANAWAKE NI MASHETANI,,,,,,,AND DONT TRUST THEM ANY MORE.,,,,,,,,NI AFADHALI NIKAAMUA KUWAGEUZA KANA CHOMBO CHA STAREHE KWANGU LAKINI SIO KUWACHUKULIA KAMA BINADAMU WENZANGU NA KUWAAMINI......

Not anymore.

Msiniulize nin kimenikuta ila eleweni tu hivo.
Sawa mkuu, but ni wanawake wangapi? Hata na bibi na mama na shandazi na dada ni wote?
 
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
3,413
Likes
3,633
Points
280
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
3,413 3,633 280
Bila kuweka kilicho tokea,,hizi zitabaki kuwa porojo.
 
Lucky Star

Lucky Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Messages
685
Likes
781
Points
180
Lucky Star

Lucky Star

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2017
685 781 180
Haihalalishi hatia kwa wenye kujitambua.
Wanaotamani kulinda heshima na hadhi za wenza(waume) zao kwa kutumia karama zao.

Afterwards, ni binadamu wenzetu ambao maisha ya mwanaume huwezi kuyatenganisha na wao.


Respect them and teach them to be as Good as you are.
 
Stephen Chelu

Stephen Chelu

Verified Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
1,644
Likes
2,123
Points
280
Stephen Chelu

Stephen Chelu

Verified Member
Joined Oct 31, 2017
1,644 2,123 280
Mkuu kanunue kisu kikubwa kipya, hakikisha kuwa kisu hicho ni kikali vya kutosha. Ukushadhibitisha kuwa kisu hicho ni kikali, toka nenda sokoni kanunue nanasi la buku 2. Kalimenye vizuri kwa kisu chako hicho kipya, katakata vipande vidogo vidogl vitie kwenye sinia. Kisha washa mziki uupendao na taraatibu gonga nanasi mpaka liishe. Maisha ndo hayahaya.
 

Forum statistics

Threads 1,238,067
Members 475,830
Posts 29,310,672