StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,627
- 7,850
Kama ni hivyo ndugu kiri tu kwamba ulizuzuka na huo uliouita "urembo" wake. Binadamu hata aigize utakatifu kiasi gani kama ni mtu mwenye hila kuna viashara vya uovu wake vitatoa picha halisi ya utu wake wa ndani. Chukulia mfano akiwa na wewe labda akamtukana x wake kwa vyovyote vile akitaka wewe ujione mwenye thamani zaidi kwake,papo hapo kwa mtu sensitive lazima uanze kutia zako maji au uamue kujitenga mbali kabisa na hiyo "saluni" kabla hunyanyolewa wewe ikiwa unaona kabisa kwamba nafsi yako haitaweza kuvumilia kutukanwa.Sikujua kama ana tabia hiyo before, nadhan alificha tabia hiyo kabla ya ndoa
Na hiki ndicho nilichokiandika huko juu..hakuna haja ya kutupiga wala.Iliwahi nitokea..nimerud toka job nikasalimiana na watoto..na mbwa wangu pia..nikauliza watoto mama yenu yuko wapi! Wakajibu ameenda kwa mama Nalieth(jiran)..badae akarud..hakusalimia akaingia ndani .nikamfata nikamsalimia tena akanyamaza. Nikamuuliza kwa nn huitiki salam..bila kutegemea akaniambia malaya zako waite wakusalimie kisha akanitukana tusi kuubwa na akamalizia kutukana kutukana kabila langu..nikamwangaliaa ..akafokaaa kama nusu saa, anatukana tu.
Nikachukua taulo nikaingia bafun..nikiwa bafuni hasira zikanijia..hasira kali .nilipomaliza nikatoka bafuni. Nikavaa..ile hasira niliyokuwa nayo nikasema nikipiga huyu mtu ntamuua .nikawasha gari nikaenda kulala kili golf kwa siku sita ..nilliporejea wala sikusema kitu nikaa kimya..nikalala chumba cha wagen kwa miez mitatu..ndan ni kimya..alikuwa anakuja analia mlangon usiku kucha na kiomba msamaha..ooh mama nalieth alinidanganya mume wangu.. mie wala..niko kimya tu anaomba msamaha mie kimya. Akakondaaa mie wala. Sili chakula chake. Siogi maji yake..najifulia . Najinyoshea..
Siku moja narud toka job ile nimepak akaja akaanguka pemben mwa gari anaomba msamaha. Nikamruka nikaingia ndan..akakaa hapo nje amelala had saa saba usiku..mie wala kimya tu...
Akashitak kwa kaka yangu..kaka yangu akaniuliza..nikajibu muulize yeye...
Aisee nilimpa teso moja matata sana had mda ,majira na wakat mwafaka ulupowadia nikamuita nikamwambia neno moja tu SIPENDI KELELE na usirudie ujinga..had leo ana adabu zote..
Kama haijawahi kukukuta usiseme ni uongo.Uongo😂 hata kwenye movie huwa hakuna uongo wa hivi, next time ubalance
Nilishawahi adhibiwa namna hii ingawa ya kwako imezidi aiseh 😁😁since then nikasema nikitaka kumpa mtu adhabu nikumlia bati tuKama sikumsilikiliza kaka yangu mkubwa itakuwa wa upande wake..in life kuna njia mbili za kujifunza .easy way na hard way..na kwa kuwa sina mkono wa kupiga..nikamfundisha kwa njia hiyo ya pili...wewe telemka tu..sipendi kelele nilishasema.
Hivi ujue pia kama unampelekea moto wa maana na ugomvi hautakuwepo milele, ugomvi wa kike mara nyingi ni kukosa kukojoleshwa basi, hata kama huna hela atauza hata vitumbua ili asikukoseHakuna kitu kinamfanya mwanamke awe na adabu kama kumpa mikito ile kisawasawa hadi yeye mwenyewe anakiri kabisa kwamba kwa mikito hii kweli baba nanihii hapa nimeolewa hakiyanani maana unampelekea moto anamwaga maji hadi anafurahi na nafsi yake[emoji3]
HakikaHivi ujue pia kama unampelekea moto wa maana na ugomvi hautakuwepo milele, ugomvi wa kike mara nyingi ni kukosa kukojoleshwa basi, hata kama huna hela atauza hata vitumbua ili asikukose
Hao siku matukio yao ukiambiwa..na Ndio siku hiyo hiyo tutaanza kuomba tuonane paradiso
Haya ndio madhara ya kuwa one woman man. Mwanaume unatakiwa uwe na pisi tatu wote watashika ada u hakuna madharau tena hapo.Wanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua kumtia makonde hadi kampeleka jehanum....wanawake BADILIKENI kama hamtaki ndoa semeni sio kuleta jeuri na madharau.
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kukaliana kimya tunakaliana kimya sana na wapenzi wetu, ukiangalia story yake ni kama vile jamaa hana huruma hata chembe, angekua na moyo wa namna hiyo wala asingefikia hatu ya kumuacha mke wake amelala nje na alikua anaomba msamaha, sana sana angeshamfukuza, sikatai watu wanakaliana kimya, ila sio katika mazingira ambayo mmoja anaomba msamaha, ni pale tu viburi vinapokua vimeshika hatamu, I am a man and I know what it feels kuombwa msamaha, tena kosa lenyewe kuambiwa anakichepuko?😂😂 Nasisitiza ni uongooooKama haijawahi kukukuta usiseme ni uongo.
Haiwezekani kaambiwa siku hiyo tu akatoa liadhabu lote hilo Chief..inawezekana ni maneno ya muda mrefuKukaliana kimya tunakaliana kimya sana na wapenzi wetu, ukiangalia story yake ni kama vile jamaa hana huruma hata chembe, angekua na moyo wa namna hiyo wala asingefikia hatu ya kumuacha mke wake amelala nje na alikua anaomba msamaha, sana sana angeshamfukuza, sikatai watu wanakaliana kimya, ila sio katika mazingira ambayo mmoja anaomba msamaha, ni pale tu viburi vinapokua vimeshika hatamu, I am a man and I know what it feels kuombwa msamaha, tena kosa lenyewe kuambiwa anakichepuko?😂😂 Nasisitiza ni uongoooo
HuendaHaiwezekani kaambiwa siku hiyo tu akatoa liadhabu lote hilo Chief..inawezekana ni maneno ya muda mrefu
Nadhani hujanielewa. By the way, WOTE MJADALA TUMEUKITA KWENYE MATOKEO BADALA YA SOURCE. Mtoa mada katahadhatisha... Sasa kama unaona kupigwa si sawa ila maneno ya kunya ni sawa, endelea..!!
Hahahaaaaa kwa hiyo heri vidomodomo?Hao siku matukio yao ukiambiwa..na Ndio siku hiyo hiyo tutaanza kuomba tuonane paradiso
Umpate mwanamke wa katikati.kuna wakati aongee wakati mwingine afunge mdomo.
Shida siyo hiyo, bali unapotaka awe hivi yeye anakuwa vile...Umpate mwanamke wa katikati.kuna wakati aongee wakati mwingine afunge mdomo.
Mawili ama "kujiendekeza" au "kuendekezwa". Tabia ni kama nyumba tu,inaweza kujengwa au kubomolewa.Alaf wapo wengi kinoma sijui iyo jeuri inatoka wapi,
Mkuu..kwanza wewe sio mimi..kina mahalai umekiri na wewe kuchukua uamzi mgumu..huyu ninaishi nae mimi sio wewe ...nimekupa kisa cha siku kilichopelekea kuchukua uamzi huo .lkn kuba mlolongo wa makosa makubwa aliyofanya kabla na nikapuuza..Kukaliana kimya tunakaliana kimya sana na wapenzi wetu, ukiangalia story yake ni kama vile jamaa hana huruma hata chembe, angekua na moyo wa namna hiyo wala asingefikia hatu ya kumuacha mke wake amelala nje na alikua anaomba msamaha, sana sana angeshamfukuza, sikatai watu wanakaliana kimya, ila sio katika mazingira ambayo mmoja anaomba msamaha, ni pale tu viburi vinapokua vimeshika hatamu, I am a man and I know what it feels kuombwa msamaha, tena kosa lenyewe kuambiwa anakichepuko?😂😂 Nasisitiza ni uongoooo
Siku nyingine usifikiri hisia zako ndizo walizonazo wengine...na kwa kifupi chief tangu siku hiyo amekuwa mtii na mwenye adabu .kama huwajui hawa watu huwa na tabia ya kuweka beacon kukifanya weww mwanaume utembeee kwenye sheria zake..na wengi hujaribu kutengeneza taasisi zao ndan ya familia na mume kutokuwa na sauti .sasa mwanaume ukishawekwa kati umekwisha...fatilia kwa wanaume ambao huwa wabafanya kaz mbali na zilipo familia zako..wanakuja wiki moja au mwez kisha wanapotea mwaka kazin..halafu huyo mwanaume astaafu arudi kukaa home asubuhi had jion....akimaliza miaka 5 ni bahati sana..Huenda