Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,078
- 173,787
Hahahahah huwezi kumfata mwanaume usiyevutiwa nae😅 hilo naamini!Asili kwio,,siyo dunia ya sasa
Hahahahah huwezi kumfata mwanaume usiyevutiwa nae😅 hilo naamini!Asili kwio,,siyo dunia ya sasa
Kupewa mbunye hutaki piaIla sie kufuata wanawake chances ni kuwa utaishia kufanywa ATM tu yani😂 mizinga kila saa!
Hahahahah mwamba ana mkono wa birika😅! Itachukua muda sana kupata anachotaka ni sawa na kusubiria Ndege itue ferry 😅😅😅Pengine hajatoa advance hata kidogo.Bado anajieleza ndo maana dem anamzungusha.
Ili umpate mwanamke, either akupende au you must use other factors like money ili umpate kinguvu .
Ukioa uniambie,tena wewe ndo utajutraa na jeuri yakoHahahahah huwezi kumfata mwanaume usiyevutiwa nae😅 hilo naamini!
Mbunye siwezi kosa ni swala la muda tu ila mbususu ya kuuziwa hainogagi kabisa. Sijui wanaonunua wanawezaje wenzangu.Kupewa mbunye hutaki pia
Hahahahah itabidi nikupe kadi wakati ukifika😅Ukioa uniambie,tena wewe ndo utajutraa na jeuri yako
Sitoi mchango kwa watu ambao hawatakaa hata miaka miwili washachokanaHahahahah itabidi nikupe kadi wakati ukifika😅
Huo ndio huwa unakuwa muda muafaka wa kumpendesha mtu kwa njia asili si kakataa kwa hiari yake basi tunawaamsha akina kinjekitile ngwale waje watusaidie..
Labda ule mbuziMbunye siwezi kosa ni swala la muda tu ila mbususu ya kuuziwa hainogagi kabisa. Sijui wanaonunua wanawezaje wenzangu.
Kila nikiwaza mbususu napewa kwa exchange ya hela stim zitakata. Bora nipate mbunye asilia tu. Zipo za kutosha tu.
Mke wangu awe mbuzi labda ila naamini ntaoa binadamu!😅Labda ule mbuzi
Dah kwahio una uhakika mie na wifi yako tutachokana 😅 hebu acha karoho cha kinyongorilo hako!Sitoi mchango kwa watu ambao hawatakaa hata miaka miwili washachokana
We jamaa yupo sawa kabsa yani..Hahaha inategemea na mwanaume, kama mm binafsi najiheshimu na nina mipaka, siwezi lala na kila mwanamke anaenitaka, hata mdada akinivamia chumbani avue nguo zote Abaki uchi, kama simtaki, nitaishia kumkimbia, kuna baadhi ya wadada walinioneshaga ishara kuwa wananitaka kingono, niliijua nia yao, ila mm nilijifanya sielewi wanachomaanisha..bhasi baada ya muda, Baadhi ya wadada waliokuwa wananitaka, wanaishia kunichukia kisirisiri Dinazarde
Eti kinyongoriro...nimechekaaDah kwahio una uhakika mie na wifi yako tutachokana 😅 hebu acha karoho cha kinyongorilo hako!
Mi nataka unifundishe biashara ExMke wangu awe mbuzi labda ila naamini ntaoa binadamu!😅
Biashara ipi unataka kujifunzaMi nataka unifundishe biashara Ex
ViatuBiashara ipi unataka kujifunza
Vya kike au kiumeViatu
Hayo maumivu ndio tunapataga wanaume sema hamjuagi tu.Mimi nishawahi kumwambia mshikaji wangu juu ya hisia zangu kwake(Nilimpenda ile at first sight) cuz tulitambulishana na rafiki yetu.
The guy alikua mtanashati halafu smart kichwani . Baadae tukawa friends sana cuz we really enjoyed each other's company.
Nilikua nikimuona tu moyo unaenda mbio(lol), nikaamua kumwambia kuwa I am in love with him.(It was embarrassing though).So alinikumbatia sana na kuniambia kwamba ananipenda kama dada na asingependa kunichezea.. Mambo blabla sijui he treasures our friendship.
Ilibidi nimwambie nilikua nakutania japo roho ilikua inaniuma .Ila alizidisha upendo badae nikampotezea.
Since that day, bora nimeze tonge siwezi muanza mwanaume .
Japo baadae kuna mwingine alikua ananipenda na pia nikawa nampenda but simuanzi cuz sikutaka another embarrassment.So siku tumekaa somewhere then ghafla I stole a kiss, and he kissed back so deeply.So ndo tukawa wapenzi.
Mwanaume anaanzwa kwa vitendo siyo maneno.