Wanawake au wanaume mliowahi kutongoza mlifanyaje mlipokataliwa?

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
619
806
Kama ilivyo ada ni swala la kawaida kwa karne ya 21 watu kutongozana msela au mtoto mzuri anakufata na kukuambia anakupenda anahitaji kuwa muwe wapenzi, Pale ikitokea mtu ambae unamtaka muwe katika mapenzi kwa kua unampenda akakukataa huwa unafanyaje???

hqdefault.jpg
 
Ni kukubaliana na jawabu ulilopewa na kusonga mbelee..cdhan dunia hii yenye wanawake takriban b4 utakosa wa kukuelewa ...ila cha msingi tongoza mara nyingi kadri uwezavyoo..kweny hao wengi wapo watakaokukubalia
 
Mimi nishawahi kumwambia mshikaji wangu juu ya hisia zangu kwake(Nilimpenda ile at first sight) cuz tulitambulishana na rafiki yetu.

The guy alikua mtanashati halafu smart kichwani . Baadae tukawa friends sana cuz we really enjoyed each other's company.

Nilikua nikimuona tu moyo unaenda mbio(lol), nikaamua kumwambia kuwa I am in love with him.(It was embarrassing though).So alinikumbatia sana na kuniambia kwamba ananipenda kama dada na asingependa kunichezea.. Mambo blabla sijui he treasures our friendship.

Ilibidi nimwambie nilikua nakutania japo roho ilikua inaniuma .Ila alizidisha upendo badae nikampotezea.

Since that day, bora nimeze tonge siwezi muanza mwanaume .

Japo baadae kuna mwingine alikua ananipenda na pia nikawa nampenda but simuanzi cuz sikutaka another embarrassment.So siku tumekaa somewhere then ghafla I stole a kiss, and he kissed back so deeply.So ndo tukawa wapenzi.

Mwanaume anaanzwa kwa vitendo siyo maneno.
 
Utajitesa bure mkuu. Furaha haipewi inachukuliwa, ukimpenda mtu wala usijibane.
Maisha yenyewe mafupi enjoy every bit of moment lije tommorow will never come
 
Mimi nishawahi kumwambia mshikaji wangu juu ya hisia zangu kwake(Nilimpenda ile at first sight) cuz tulitambulishana na rafiki yetu.

The guy alikua mtanashati halafu smart kichwani . Baadae tukawa friends sana cuz we really enjoyed each other's company.
Usiogope ukimuelewa ww mchane mapema.
Kama ilivyo kwako me pia kuna dem tulikuwa washkaji kinoma baadae tukafall in love. Mixer lunch za hotelini pamoja. Ila hakuna aliyemwambia mwenzake at the end of day kuna dem alijitokeza akamuovertake. The sad story yule wa mwanzo now ni mtangzaji redio flan hv.
 
Hope siku hiyo ulijifunza how it feels kuiambiwa No unapotaka utelezi.

Inauma sana
 
Wanaume hawakataagi k

Hahaha inategemea na mwanaume, kama mm binafsi najiheshimu na nina mipaka, siwezi lala na kila mwanamke anaenitaka, hata mdada akinivamia chumbani avue nguo zote Abaki uchi, kama simtaki, nitaishia kumkimbia, kuna baadhi ya wadada walinioneshaga ishara kuwa wananitaka kingono, niliijua nia yao, ila mm nilijifanya sielewi wanachomaanisha..bhasi baada ya muda, Baadhi ya wadada waliokuwa wananitaka, wanaishia kunichukia kisirisiri Dinazarde
 
😂😂😂 wachache sana kama wewe
 
Unaambiwa akikataa tongoza mwingine,lakin tunang'angania huyohuyo coz huenda umempendea tazama yake tu macho yasisimua kabla hajaongea,yaan awe na hasira asiwe na hasira bado macho yake yanatekenya...ukiangalia wengine mnaosema wengi wote macho makali kama wapo kwenye mnada wa rusharusha nguo.
 
Usiogope ukimuelewa ww mchane mapema.
Kama ilivyo kwako me pia kuna dem tulikuwa washkaji kinoma baadae tukafall in love. Mixer lunch za hotelini pamoja. Ila hakuna aliyemwambia mwenzake at the end of day kuna dem alijitokeza akamuovertake. The sad story yule wa mwanzo now ni mtangzaji redio flan hv.
Siwezi sema aise.Na wewe kama ulimuelewa dada wa watu why hukumwambia?
 
Mimi nishawahi kumwambia mshikaji wangu juu ya hisia zangu kwake(Nilimpenda ile at first sight) cuz tulitambulishana na rafiki yetu.

The guy alikua mtanashati halafu smart kichwani . Baadae tukawa friends sana cuz we really enjoyed each other's company.

Nilikua nikimuona tu moyo unaenda mbio(lol), nikaamua kumwambia kuwa I am in love with him.(It was embarrassing though).So alinikumbatia sana na kuniambia kwamba ananipenda kama dada na asingependa kunichezea.. Mambo blabla sijui he treasures our friendship.

Ilibidi nimwambie nilikua nakutania japo roho ilikua inaniuma .Ila alizidisha upendo badae nikampotezea.

Since that day, bora nimeze tonge siwezi muanza mwanaume .

Japo baadae kuna mwingine alikua ananipenda na pia nikawa nampenda but simuanzi cuz sikutaka another embarrassment.So siku tumekaa somewhere then ghafla I stole a kiss, and he kissed back so deeply.So ndo tukawa wapenzi.

Mwanaume anaanzwa kwa vitendo siyo maneno.
Kumbe ulikuwa mtaalamu wa kupiga sound wajuba😅!

Sema ni vizuri kuonesha hisia zako tu kama muhuni umemuelewa! Its very satisfying hata kama atakukataa. Mi naamini mwanamke akifall kwa mwanaume huwa anakuwa real sana ila uhakikishe we ni pini kuliko huyo mwanaume. Ukiwa huna mvuto jua mtoso ni 90%
 
Unaambiwa akikataa tongoza mwingine,lakin tunang'angania huyohuyo coz huenda umempendea tazama yake tu macho yasisimua kabla hajaongea,yaan awe na hasira asiwe na hasira bado macho yake yanatekenya...ukiangalia wengine mnaosema wengi wote macho makali kama wapo kwenye mnada wa rusharusha nguo.
Hahahaha unajua shida ya madem wengi huwa wanatongozaga wale mahendisamu boi! Yani anataka mwanaume ambaye anatakwa na wanawake kila kona.

Mjuba HB mwenye looks za kijentromen na smart flani matokeo yake jamaa akikupima kwenye mzani anakuona kenge tu 😅! Maana kuna pisi za kwenda kashapita nazo,wewe huingii hata theluthi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom