Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #21
anaanika bafuni huyo au chumbaniunataka ukamfulie?
anaanika bafuni huyo au chumbaniunataka ukamfulie?
sio uvivu ni ujinga shostiha ha ha ha huyo kazidi uvivu
sio uchafu bna mi mwenyewe nina kikapu changu natupia humo nafua jpili zoote.sifui chupi zangu na sabuni ya kuogea mie
ahahaaa dah kuna wamama sijui majukumu yao humo ndani ni kugegedwa tu ?
yaani mimi nikitaka kuoga navua nguo zote chumbani natupia under kwenye kikapu chake nguo zangu kwenye tenga huyoo bafuni uchiii kwa raha zangu[emoji125] [emoji125] [emoji125] hee ila aina nyingine za urundikaji sio kabisa zinazagaa ovyo
Uko bafuni au chumbani ndo kuzuri na ntazianua na kuzikunja kabisaanaanika bafuni huyo au chumbani
Vp we uwa urundiki chupi?
mashine zingine kumbuka hazikaushiNunulia mkeo mashine ya kuosha nguo mwanaume!!
anaanika bafuni huyo au chumbani
Uko bafuni au chumbani ndo kuzuri na ntazianua na kuzikunja kabisa
unaficha nini?Hahaa hamna bana,naanika nje zenyewe chini kanga kwa juu na vibanio tele
Waaow so romantic
Nunulia mkeo mashine ya kuosha nguo mwanaume!!
Wanapata wanaume wazembe mi ukifuga makucha ka jini kabula nayakata na pangamtu anababdika makucha ya elf 30 utamshikisha boxer zako?
weee tuna fensi bwana hata mashine ipo ila jirani hana .hata hivo mashine yangu haikaushi inafua,inasuuza inakamua basiMkuu mashine kwa uchumi gani walionao. Kama tu miss natafuta kawashuhudia jua wanaishi nyumba isiyo na fensi
unaficha nini?
mimi naanika tu mchana kweuuupeVifuniko vya asali[emoji3] [emoji3]
weee tuna fensi bwana hata mashine ipo ila jirani hana .hata hivo mashine yangu haikaushi inafua,inasuuza inakamua basi
Umenena kuna wanawake wengine pasua kichwa hawajitambui hata kidogo na ndo maana hawakawii kuachika ndani ya nyumba.Huyo mzee anamoyo sana ningekua mimi,ningekua mimi,mimi---------.kuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua hadi unazionea huruma unatamani hata kuzipa maji ya kunywa.
sasa kipindi hiki cha mvua sasa nguo zinanyeshewa zinakauka zinanyeshewa tena basi taabu tupu .nahisi watakuwa wananuka sana humo ndani. kuna wakati mume akitaka nguo flani unamuona anaifata kwenye kamba jamani. huwa nacheeka kama mazuri.
kuna wanaume ndani wana shida hadi basi.
tunaishi nyumba mojaAiseee yaan unamfaidi jiran,ningekua mie ndo jiran ningeweka fensi kali mno