Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #41
mke mvivu hadi anakeraUmenena kuna wanawake wengine pasua kichwa hawajitambui hata kidogo na ndo maana hawakawii kuachika ndani ya nyumba.Huyo mzee anamoyo sana ningekua mimi,ningekua mimi,mimi---------.