Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #61
Tenga la kufunikia kuku we unawekea nguo
Tenga la kufunikia kuku we unawekea nguo
mume ana kosa gani hapa,analipa kodi ya nyumba,watoto wanaenda shule,etcni kweli nakubaliana nawe..basi kila mtu atimize majukumu yake..kama ni mke afanye yake..mume vilevile afanye yake
kuna shida mkuu?[emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye maji ya kunywa aisee chaa[emoji126][emoji126][emoji126]kuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua hadi unazionea huruma unatamani hata kuzipa maji ya kunywa.
sasa kipindi hiki cha mvua sasa nguo zinanyeshewa zinakauka zinanyeshewa tena basi taabu tupu .nahisi watakuwa wananuka sana humo ndani. kuna wakati mume akitaka nguo flani unamuona anaifata kwenye kamba jamani. huwa nacheeka kama mazuri.
kuna wanaume ndani wana shida hadi basi.
nguo inakaa kwenye kamba week jamani na jua la dar ?[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye maji ya kunywa aisee chaa[emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahahaha!!!Eti zilivyochoka sasani aibu sana eti hadi boxer za mume zinafuliwa na mtu mwingine .zilivochoka sasa?????
nguo zinaharibika mkuu,kwanza watoto watapata magonjwa ya ngozi maana inakaa kwenye kamba hadi wadudu wanazaliana hapo .unatakiwa uwe mkali maana utakuwa unanunua nguo kila maraHii tabia siipendi sana, hata shemeji yangu anayo akifua nguo za watoto na zake zitakaa kwenye kamba hata wiki nzima. Pia anaweza kuloweka nguo hata wiki nzima ila namchukulia poa tu
Hapo ndo utajua kuna mwanamke na lijanamke[emoji38][emoji38][emoji38]nguo inakaa kwenye kamba week jamani na jua la dar ?
hadi zinaomba msamaha yaani .Hahahahaha!!!Eti zilivyochoka sasa
Miss Natafuta bhana
Hakuna shida, style hiyo ni ya nyumba ya peke yako maan kama kuna wengine, DUH, ni hatarikuna shida mkuu?
Tehteh!!hadi zinaomba msamaha yaani .
kwema tu mvua nyingi huku ndugu yanguTehteh!!
Vipi kwema lakini mkuu
uvivu na uchafu sio issue yaani bora hata uzinziHapo ndo utajua kuna mwanamke na lijanamke[emoji38][emoji38][emoji38]
Sema kaka zetu nao kuna wakati wanavumiliaga mengi sn
[emoji32][emoji32]uzinzi tena (mateso kwa sehem za siri)uvivu na uchafu sio issue yaani bora hata uzinzi
Hata huku kwetu Bariadi-Simiyukwema tu mvua nyingi huku ndugu yangu
Mkuu Numbisa anika nje tu zikauke vizuri na mambo ya kuanika ndani zitakua hazikauki vizuri na ndo chanzo ata cha fangasiAisee naona Antonio de Guzman anajisogeza taratibu ngoja nimdake kwa muda nipate hela ya manunuzi
Mh aisee huyo mwanamke sijui ni wa aina gan.ni aibu sana eti hadi boxer za mume zinafuliwa na mtu mwingine .zilivochoka sasa?????
mwambie akianika nje asifunike na kanga wala shuka aache zipate juaMkuu Numbisa anika nje tu zikauke vizuri na mambo ya kuanika ndani zitakua hazikauki vizuri na ndo chanzo ata cha fangasi
ahhaaaaa[emoji32][emoji32]uzinzi tena (mateso kwa sehem za siri)