Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,981
- 1,252,292
Soma comments huko juu nimesema naanika nje nafunika na kanga kwa juu,zinakauka vizuri tu. Na hao fangas sijawah pata miaka tele mpaka nazeeka sasa
Mkuu Numbisa anika nje tu zikauke vizuri na mambo ya kuanika ndani zitakua hazikauki vizuri na ndo chanzo ata cha fangasi