Umetumia huo msemo kwa sehemu sio sahihi hivi umemuelewa vizuri mtoa mada kweli?Tafuta hela kwanza Kisha wafuate
Mimi siyo mtoto,Acha utoto ndugu yangu.. ndoa sio hela
📌🔨Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?
Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.
Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?
Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?
Pesa huleta heshima kwa mwanaume,
Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.
Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Mmepishana sana mtazamo na mleta uzi Mkuu ni sawa na wewe unaenda Mwanza halafu mleta uzi anaenda zake Mbeya.Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?
Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.
Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?
Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?
Pesa huleta heshima kwa mwanaume,
Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.
Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Ulinunua kwa bei rahisi sana Mkuu 😂😂Yaani Wana utoto mwingi kuna mmoja hivi nilimwita ghetto akaja tulivyomalizana nikaona nimpe yakumwachia nikampa 30 ya nauli na hapo mpaka anapokaa ...
Sijanunua mkuu ni manzi niliuyokuwa nina mahusiano nae kimapenziUlinunua kwa bei rahisi sana Mkuu 😂😂
Sio kweli mkuu, mleta mada ana hoja na asikilizwe.Tafuta hela kwanza Kisha wafuate
Kwa hiyo ukitongoza leo unaanza kupokea matatizo ya huyo mwanamke kisa uanaume ni kuhudumia?Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?
Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.
Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?
Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?
Pesa huleta heshima kwa mwanaume,
Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.
Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Mwambie umuoe ili umhudumie kama mke , akizingua piga chini , demu anayekupenda kiukweli haombi hela ovyo ovyo , by emergency Sana , tena mara nyingi we mwenyewe unajistukia unajikuta umempa bila hata kuomba , demu unayemfukuzia chenga mkuuNasikitika kusema kwamba wanawake wana utoto na uchuro mwingi sana hadi unakata tamaa kumuoa.. yani unatongoza mwanamke anakaa ..
Jamaa kakariri huo msemo halafu ajui unatumika kwa mazingira yapiKwa hiyo ukitongoza leo unaanza kupokea matatizo ya huyo mwanamke kisa uanaume ni kuhudumia?
Mke anahudumiwa, mchumba yupo chini ya wazazi wake, ukimhudumia ni kiherehere chako.
Huu ni ushauri wa kisengeremaTafuta hela kwanza Kisha wafuate
Hili umeongea sahihi na nakubaliana na weweMimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?
Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.
Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?
Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?
Pesa huleta heshima kwa mwanaume,
Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.
Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Anamaanisha kueni na akili na mzitumie.Hakuna mwanaume asiyejua kuwa anahitaji kumsapoti manzi yake kifedha ila sasa hil lisiwageuze mandondocha kukaa kuombaa omba hela kama wapumbavu.....Maana mnachofanya nyie ni kukomoaMkuu
Kuna koneksheni gani kati ya kuomba hela na utoto?
Pesa ndo kilakitu broAcha utoto ndugu yangu.. ndoa sio hela