hahahaha, ndio mashahidi wawili wenye ushuhuda wa dai lako, tuwasikilize nao walichokiona kwa mtenda.
Ikiwa watakiri ni ushirkina hatua zitafuata au alikua anajikuna tutatupilia mbali dai lako.
Unakutana na bonge la drmu lakini ukimwangalia vizuri shingoni au kifuani ana chale. Zile hazipatikani kanisani au msikitini. Kijana ukiona hizo halama hakuna ushahidi mwingine unaoa au kutembea nachawi kimbia ufe. Wanaliwa Sana na waganga. Kama ana make up usikubali ku do naye kabla hajaoga mwili mzima hayo matope aliyojopaka yatoke ili umwone unayemshugulikia
Sio sheria tu mkuu kuzisoma, ukiwa na kesi uwe mjanja pia.
hapo unawezwa kutupiwa swari linakuulza"kipindi mlalamikiwa anatenda jambo lile chupi yake ilikua na vishikizo vingapi au rangi gani?
au muhumiwa akaiambia mahakama kua unatatizo la afya ya hakiri.
anaiomba mahakama ijiridhishe juu yako.
usipokua makini unapanic na kupoteza point.
au ukamnyoshea kidole mtuhumiwa na mahakaman hailuhusiw
hahahaha, ndio mashahidi wawili wenye ushuhuda wa dai lako, tuwasikilize nao walichokiona kwa mtenda.
Ikiwa watakiri ni ushirkina hatua zitafuata au alikua anajikuna tutatupilia mbali dai lako.