Huenda ulichoandika kina madhaifu ila lengo kuu la huu uzi kama umeusoma vizuri sio kukwepa kuhudumia/kutoa hela! Sisi tunajua kwamba ni jukumu letu kutafuta hela ili tuwakule (na ndo sifa ya mwanaume kamili) maana hakuna cha bure!
Tatizo/lengo kuu la huu uzi kama heading yake ilivyo ni kukataa kitu "unafiki" wenu. Hela nitakupa sawa sasa kwa nini nikikwambia nikupe hela unipe mzigo unatokwa na povu hadi matusi? Wakati huo huo nikikutongoza ukanikubali bado unaomba hela?
Hate me at your own risk!