Wanawake acheni tabia za kuwageuza Wanaume ATM!

ukiongelea wanawake unanifanya niwaone kiumbe cha hajabu kuliko pweza maana demu anaishi mwao na ww kwenu lakini eti anataka hela ya matumizi, yanini tena mwingne mpka ya mchango wa shoga wake party umtoleee Kikubwa tamaa ndo maana wanamegwa sana nyambufu zao
 
Usitumie nguvu kubwa kuwasilisha hoja yako, wapo pia wanaume kama mabinti, leo sio topic yao nitakuja na hiyo topic siku zijazo.
 
mkuu inabidi uwe kauzu zaidi ya dagaa...................mana siku hzi wanaeza kukugeuza kichwa chini miguu juu wankukung'uta ili zidondoke hadi coin
 
we uko wapi?
sometimes wadada hupiga mizinga ili tu awe close na wewe

ni njia tu ya kukuzoea hasa wanafunzi wa college,hata kama hana shida hiyo
but kakuzimia atakufuata kwa gia hiyo...
utasikia njaa inaniuma,nipe offer basi ya lunch..
 
Senator if you don't mind naomba niazime Lak 5, nitarudisha Weekend.... mambo yamenibana kweli....
 
Wewe nadhani unachohitaji ni uhai wake,..........
Mtu unamuona kabisa pochi yake imeunganishwa na mapigo ya moyo sasa akiitoa tu mfukoni kuna uhai hapo?
 
bora hata umenisave kumjbu mkuu,maana me mwenyewe had naleta hi thread hapa ni kwamba nshapgwa vzinga na cna k2,cjui hata niwajbuje hao wadada,afu asha dii nae ananletea matatzo mengne.
 
Jamani nimeazima tu... nitarudisha....lol
 
we uko wapi?
sometimes wadada hupiga mizinga ili tu awe close na wewe
ni njia tu ya kukuzoea hasa wanafunzi wa college,hata kama hana shida hiyo
but kakuzimia atakufuata kwa gia hiyo...
utasikia njaa inaniuma,nipe offer basi ya lunch..

au wengne wanategea ule mda wa lunch afu ndo anakupgia,eti uko wapi nije 2le wote?akija mkpga nae menu 2 atakutegea we kidume ulipe.
 
bora hata umenisave kumjbu mkuu,maana me mwenyewe had naleta hi thread hapa ni kwamba nshapgwa vzinga na cna k2,cjui hata niwajbuje hao wadada,afu asha dii nae ananletea matatzo mengne.

oh! Jamani Senator... Wadada sio wajinga no matter ana age gani... Yawezekana kweli unapesa sustainable sio nyingi... but waonekana unazao alafu on top of that ni mtu ambae rahisi kuzoeleka... but hapa nimekusoma kua you are sensitive kwa wadada... mdada yoyote akisha jua jina lako na kukufuatila once in a while kwako tayari unaku umemshiba.. aidha sababu hua unahurumia saana wanawake... Ama sababu hua unakua na mpango wa kulala nao, ila yaonesha techniques zakushinda... wanachukua pesa then wanasepa... (na kama wanasepa kama walikuahidi game na wasikupe - ina maana hua una potray weakeness kwa wadada, hivo inakua haimvutii kulala nawe.... Kumbuka hayo ni maoni naweza nikawa wrong...
 
Kama huna onyesha huna.....sio una buku tatu mfukoni alafu akikwambia anaomba ofa ya lunch unaongozana nae sehemu ya mlo mmoja buku 2800.

Kama vipi unamwambia mapema kabisa nipo sehemu fulani ila leo mambo yangu sio fresh hivyo usisahau kawallet kako!
 
oh! Jamani Senator... Wadada sio wajinga no matter ana age gani... Yawezekana kweli unapesa sustainable sio nyingi... but waonekana unazao alafu on top of that ni mtu ambae rahisi kuzoeleka... but hapa nimekusoma kua you are sensitive kwa wadada... mdada yoyote akisha jua jina lako na kukufuatila once in a while kwako tayari unaku umemshiba.. aidha sababu hua unahurumia saana wanawake... Ama sababu hua unakua na mpango wa kulala nao, ila yaonesha techniques zakushinda... wanachukua pesa then wanasepa... (na kama wanasepa kama walikuahidi game na wasikupe - ina maana hua una potray weakeness kwa wadada, hivo inakua haimvutii kulala nawe.... Kumbuka hayo ni maoni naweza nikawa wrong...
Wala hauko wrong,........
Bora mimi sijasema.
 
Back
Top Bottom