Wanawake acheni mitego hii.

Sitanii ujue kweli tabs tuache masihara, EMT ni habari ingine.

Hehehheheheee mwambie Daby asihofu, fimbo ya mbali haiui nyoka yeye yuko karibu hapa anapata vingi zaidi.
Kweli yule ni habari nyingine.
Daby acha wivu, unataka upate vitamu peke yako????
 
A promise is a promise....i'll fix mine maana nikichukua muda ya kwako itabaki kuwa deni kwangu
Wuuhuuuuu umeona sasa sababu nakumisigi.... Sababu huwa unakumbuka ahadi zako hata ipite miaka.

Muda na nafasi niko nayo ukitaka ntakuazima yangu, yaani kuanzia leo naanza kuoga kabisaa na kunyoosha nguo ya siku ya deni eehehehheheee

Hata usingizi hautakuja kusubiria nisijepitwa na siku ya deni aahahahhahaa.

Usiache msalimu Msafiri.
 
Unampigia simu mwanamke wakati mkiwa mnaongea anakuuliza swali,MKEO MZIMA??mara msalimie mpenzi wako??huku anafahamu kuwa bado haujaoa,mitego mingeni sio kabisa.

Mwingine anakukaribisha kwake alipo panga wakati anajua kabisa kuwa unaemkuaribisha ni kijana hafu yeye mwenyewe hajaolewa.

Mwingine ni urafiki tu anasema oooh!nmekumisi sana best yangu njoo basi nikuone?

Mwingine Mara nilikuona unafua nguo na unaosha vyombo hipo siku nitakuja nikusaidie wakati huo anajua fika hauna mke.

Mwingine anasema Mara natamani kuolewa wakati anajua kabisa anaeongea nae hana mke .

Wanawake acheni mitego, kama unampenda mwanamme wewe funguka wala hautooneka Malaya kwa wanaume wanaojielewa.
70% ya waliowahi kuniambia nimsalimie mke au mpenzi niliwatafuna kirahisi
 
Unampigia simu mwanamke wakati mkiwa mnaongea anakuuliza swali,MKEO MZIMA??mara msalimie mpenzi wako??huku anafahamu kuwa bado haujaoa,mitego mingeni sio kabisa.

Mwingine anakukaribisha kwake alipo panga wakati anajua kabisa kuwa unaemkuaribisha ni kijana hafu yeye mwenyewe hajaolewa.

Mwingine ni urafiki tu anasema oooh!nmekumisi sana best yangu njoo basi nikuone?

Mwingine Mara nilikuona unafua nguo na unaosha vyombo hipo siku nitakuja nikusaidie wakati huo anajua fika hauna mke.

Mwingine anasema Mara natamani kuolewa wakati anajua kabisa anaeongea nae hana mke .

Wanawake acheni mitego, kama unampenda mwanamme wewe funguka wala hautooneka Malaya kwa wanaume wanaojielewa.
Khaa jamani hivi si mnatakaga sisi tujiongeze sasa na ninyi mnashindwa nini kujiongeza?
 
Back
Top Bottom