Wanawake acheni mitego hii.

Wanawake acheni mitego hii.

Dalili moja kuu ya mwanamke kua na tamaa au hatatulia kuweka picha za mitego au hata upande wa kauli [emoji2520]
 
EMT
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Daaah huyu jamaa angethubutu kuni PM tuu ningesingizia hadi nna mimba yake, sikuwahi kumfahamu ila sifa zake nilizipata nikajuta kwanini sikuwepo wakati wake....

Kasinde.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walah umenichekesha sana kasie. Yaani huyo ni mwanaume na robo tatu, sijui kwanini wanapotea yanabaki mafurushi tu huku.
Mbona wakati yupo ulikuwepo? Sema tu labda haukuwahi kuonana nae. Ana madini ukiyasoma unaishiwa nguvu kabisa.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
This is what we call emotional abuse.

Hysterically, romantically screaming and praising at other man while we're here is considered to be emotional abuse.

Kwanini usikuwepo wakati Atoto alikuwepo?
 
Heeehhh uzee huu, kumbe nami ni wa kitambo hicho hahahahahahahahaaaa

Kiukweli EMT popote alipo, akisikia ujumbe wangu basi ajue nimemuofa kwa moyo kunjufu kinywachi chochote anachopendelea au kwenda kutengeneza nywele saluni yoyote atakayo au chakula cha mchana au usiku popote pale.

Achague kimoja tuu, sijamdondokea ila namkubali ila pia akinigusa tuu kama anataka kuniuliza kitu ntageuka na kusema nimekubali milele na milele Amina 😜😜😅😅😅😅

Matata K.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kasie yo nuts, nimecheka kama chizi hadi watu wananishangaa. Haswa hapo ulipomalizia.
Heeehhh uzee huu, kumbe nami ni wa kitambo hicho hahahahahahahahaaaa

Kiukweli EMT popote alipo, akisikia ujumbe wangu basi ajue nimemuofa kwa moyo kunjufu kinywachi chochote anachopendelea au kwenda kutengeneza nywele saluni yoyote atakayo au chakula cha mchana au usiku popote pale.

Achague kimoja tuu, sijamdondokea ila namkubali ila pia akinigusa tuu kama anataka kuniuliza kitu ntageuka na kusema nimekubali milele na milele Amina [emoji12][emoji12][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Matata K.
 
Hapo ndio kishakutongoza hivyo. wewe unataka akutongozaje zaidi yahapo
 
This is what we call emotional abuse.

Hysterically, romantically screaming and praising at other man while we're here is considered to be emotional abuse.

Kwanini usikuwepo wakati Atoto alikuwepo?

Aahahahahhahaaa laigunian Daby baba yeyoo, hivi unajua mshenga wetu Azarel ndo alisababisha tusisibabishe....

Ila usimuulize acha tuu, shida ulishakaa nikuanishie uzi, ungekuta saa hizi una malavu baiti hadi kwenye kucha nini unyayo hehehehehehehe

Usishindwe banaa, unakubalije kushindwa??

Live it Love it.

Matata K.
 
Back
Top Bottom