Teh hawajuagi kutofautisha hawa wenzetu, yeye atakwambia tu umependeza basi. Nilikuwa na huyo friend angu, nywele zake natural utaziona tu saloon akiwa anabadilisha weave. Ni bandika bandua
jusimchukue usiku mmetoka klabu, asubuhi akitoka chooni na makeup imekwisha lazima upige ukungwi maana dracula kaingia
Tena huyo ni bingwa sijui wanawake walimfanyaga nini, hanaga jema juu yao.
Mkiambiwa ukweli hamtaki, mnapenda kudanganywa kila mda
This is really confusing. Anaogaje? Au mpaka akienda saloon ndo anaosha kichwa.?
I cant imagine mko kwenye mambo flani na mwenza wako.. halafu akakushika kichwani na mikono iliyo'contaminated'.. haogi? How can anyone survive this??
Exactly, unaambiwa tu HS hapa umezingua na tulivyo sasa tukipata tu taarifa tunaitafutia evidences ndo tunakubwagia bwaaaa. Utaamua mwenyewe
na wewe ni mhanga nini?[/QUOTE
Kuna janga gani tena shemeji
Mie i love them maana ni black n white, kwamba gf hapa umebugi ila ukiangalia ukweli unaona kabisaaa kweli umebugi, mweeeh haya mambo bwana!
Jipu likitumbuliwa linauma
Vibaya hivyo, yaani hadi ifikie mkeo ukimsifia anachukulia poa tu basi ni balaa hilo, hamkushughulika na tatizo tangu awali.
Exactly, unaambiwa tu HS hapa umezingua na tulivyo sasa tukipata tu taarifa tunaitafutia evidences ndo tunakubwagia bwaaaa. Utaamua mwenyewe
na wewe ni mhanga nini?[/QUOTE
Kuna janga gani tena shemeji
la Uvaaji Mawigi hapa tz! Maana unakuta mtu kalivaa likimdondoka maalama ya mapunye yamejaa kichwa kizima
Ha ha ha ha hilo wigi linalobaki straight kiboko mpendwa nmecheka lol
usiku kwenye taa za rangi mkorogo unakuwa black, shida asubuhi, hasa ukimkuta anakipete pia kwenye KKwani ulipombeba ulidhani umeopoa mzungu? Si ulijua ni mbongo mwenye wigi, unastuka nini sasa wakati huo?
Exactly, unaambiwa tu HS hapa umezingua na tulivyo sasa tukipata tu taarifa tunaitafutia evidences ndo tunakubwagia bwaaaa. Utaamua mwenyewe
la Uvaaji Mawigi hapa tz! Maana unakuta mtu kalivaa likimdondoka maalama ya mapunye yamejaa kichwa kizima
Hahaha kumbe ni janga eeh
Linipate kwani nakujali? Watu badala ya kuwaza maendeleo mnahangaika kuingilia mawigi ya watu wasio wake zenu, waacheni na mawigi yao
usiku kwenye taa za rangi mkorogo unakuwa black, shida asubuhi, hasa ukimkuta anakipete pia kwenye K
Hahaha kumbe ni janga eeh
tena kubwa sana!!