Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,815
- 33,486
Aiseehhh mimi huwa nakerwa zaidi nahisi, yani mimi na mama watoto wangu ndo ugomvi kila kukicha,namkataza lakin wapi,unakuta wigi la rangi sijuwi kijani, sijuwi pink yani hakuna relation na uhalisia wa nywele za binadamu, siyapendi mawigi na sipendi kumuona alady amevaa
Hii kitu niliisikia kwa mwanasaikolojia mmoja, eti women do things for their fellow women to see not men, hivi kumbe ni kweli!!
harufu ya miwigi yenu inanututapisha, kama unashindana na mwanamke mwenzio msikae mahali kwenye jumuia, i mean wanume. loo harufu kichwani kama mavi ya mbwaWe ndo umepaniki, kuja kulalamikia mawigi ya mwanamke, kama ulikuwa hujui sio mara zote wanawake wanajiremba kwa ajili ya wanaume hiyo ni psychology ya wanawake... They are competitive among themselves.
Hata ningekuwa nimelivaa wewe halikuhusu, hata liwe la kijani teh teh
Hahaha bora babu umekuwa mkweli kuwa kuna mengine yanavutia
Teh teh..Mpaka mtu unajiuliza hii ni sura au painting board
harufu ya miwigi yenu inanututapisha, kama unashindana na mwanamke mwenzio msikae mahali kwenye jumuia, i mean wanume. loo harufu kichwani kama mavi ya mbwa
Ninachosema ni kuwa, mkibaki na nywele natural bila Fake hair mnapendeza na kuvutia zaidi.Nikificha kipilipili si changu, wewe unawashwa na nini. Mimi sijaweka hilo lkn huna haki yoyote kuwasema walioweka maana hawakuhusu.
Hapa naona tutakesha pia. Kwa nini msikubaliane kwama ni ruksa wanaume kuwa na vitambi na pia wanawake waendelee na wigs/weaves kwa raha zao?
Hapa naona tutakesha pia. Kwa nini msikubaliane kwama ni ruksa wanaume kuwa na vitambi na pia wanawake waendelee na wigs/weaves kwa raha zao?
Unalazimisha sasa, ushauri haulazimishwi wala Ombi halilazimishwi. Kila mtu anacho anachotaka na sio lazima kimvutie mwingine, huna cha kufanya mtu akiamua kuvaa wig labda awe mkeo utamvua maana wengine hawajali kama huvutiwi
Mara nyingi wanawake wanashindana wenyewe maana hakuna mwanaume anayejua wigi la human hair au la laki 3 ila mwanamke mwenzie atajua na kumsifia. Sio mara zote lengo wewe uvutiwe so yanakuwa hayakuhusu
Ninachosema ni kuwa, mkibaki na nywele natural bila Fake hair mnapendeza na kuvutia zaidi.
Kama hilo jiwe limekupata, pole
Tena hilo la make up ni kimeo. Mkorogo, kope za bluu, lips za kijani, wigi jekundu hadi anatisha
We yale ni maradhi, hujui maradhi ni adui mmojawapo tunaepigana nae kama taifa? Hiyo iwe kwa mwanamke au me bado ni noma.
Inasemekana ndivyo ilivyo, ndo maana mwanamke mwenzie akimshauri usimkubalie fulani basi atapokea ushauri haraka zaidi. ..akisifiwa na mwanamke mwenzie anaamini, akisifiwa na mwanaume atahisi ni kwa sababu tu kuna kitu mwanaume anataka.
So vingi wanawake wanataka waonekane bora kwa wenzao wakiamini ndio ukweli wamekuwa bora
nywele fake, na harufu juu, matako, fake, kope fake, kucha fake , meno fake, bikira karudishia fake , ukitaka kumuona original subiri kwenye jeneza, na kama utakubali kuwa yeye utasema mortuary wamechanganya maitiMtakoma unanusa za nini na joto hili? mwisho wa siku hazikuhusu wewe ila za mkeo tu.