Wanawake acheni kuvaa mawigi

sasa je! We mbona from shoes to wallet everything is fake and we ain't say nothing huh.. Mutuwacheeee

Sasa unasababisha vitu vya kuvaa na kutumia kuwekea pesa na u fake wa viungo vya binadamu?
 
Ushaathirika kisaikolojia kwa Uvaaji wa Hiyo midude kwahiyo hata uambiwaje huwezi kuelewa. Bila shaka una matuta ya Viazi kichwani

Au atakuwa na saluni au duka lake anawauzia wengine,sasa hapa tunamharibia soko.
 
Nitafute tafaadhwali...
 
Ushaathirika kisaikolojia kwa Uvaaji wa Hiyo midude kwahiyo hata uambiwaje huwezi kuelewa. Bila shaka una matuta ya Viazi kichwani
no Sir!!! I have my hair but if I wanna add some volume to it I WILL!
 
no Sir!!! I have my hair but if I wanna add some volume to it I WILL!

Haya bhana kila la heri katika Uvaaji wako lakini angalia lisijekupeperushwa na upepo.

Nb:Ahsante kwa heshima uliyonipa ya Kuniita SIR
 
Wanaume wanafki kishenzi! Hao wenye vipArA au tibaujuka style mnawaita bake3!! And I'm sure 90% here u banging chicks in weaves/wigs or fake skin tone:blah:

Ukiwa na m-wigi wako nakukata kama lowasa...
 
Ushaathirika kisaikolojia kwa Uvaaji wa Hiyo midude kwahiyo hata uambiwaje huwezi kuelewa. Bila shaka una matuta ya Viazi kichwani
Ibra bana! Na Kitop chako cha kijani
 
Namtafuta huyu MREMBO/MISS kwa gharama yoyote,anaitwa Dorice Mollel. atakayeniconnect naye asijali kuhusu pesa.
 
Attachments

  • 1453004944115.jpg
    8.2 KB · Views: 90
Wanaume tungetumia akili zetu vizuri wangeacha kuyavaa. Ukiombwa fedha ya wigi humpi,akinunua mwenyewe na kulivaa ili hali hupendi wigi jifanye humjui. Atatafuta namna ya kupatana na wewe,mweleze chanzo cha ugomvi wenu. Akikupima kwa kuvaa tena sisitiza msimamo wako humjui hakujui.
 
Hahahaha
 
Mama watoto anavaa hadi kijani amekua kinyonga..teh umetuongezea chai hapa
 
Teh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...
Hahahaa unavijembe sana bestie...watu kama nyiee ni wachunguzi wa vitu vidogovidogo hamfai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…