Wazungu wenyewe wanavaa mawigi na kutumia weaving vizuri tu. Wahindi ndo nywele zao halisi na wafilipino acheni ushamba mu google muelewe sio mihemko na ubahili kwa watu wenu
Kwani hao wanawake wanaishi wenyewe kwenye hii sayari?
Mliumbwa kwa ajili yetu ila sisi hatukuumbwa kwa ajili yenu (refer maandiko)
Wewe kama unazivaa ili kuficha mabonde kuinama kichwani kwako kuwa tu wazi usijishtukie
Usiishi kwa kukariri
Kwani wewe bila Fake hair unaweza kuwa na nywele ndefu kama hao wazungu, wahindi na wafilipino?
Hivyo vitu havina maana, mwanamke anayejielewa wala hawezi kuhangaika nazo, ni wale tu wachache wanaofanya vitu kwa sababu rafiki yake au mtu mwingine kafanya
Wewe still una mentality za kimfumo dume tuliubwa kwa ajili yenu mhhhhh I doubt viumbe vyote huishi kwa kutegemeana sio eti wanawake wasifanye yawahusuyo kisa eti wanaume nyie kina nani labda? Hafu maandiko hayatazwi kihivo ka unavotafsiri times has changed a lot.
Mi hata siwezi kuishi atakavyo kiumbe mwingine it's obvious huwa napenda Ku change styles za nywele anayefatilia ya wanawake lazima ana tatizo la kisaikolojia kubwa mno.
1 Wakorintho 11:9
Neno litasimama, ya ulimwengu yatapita lakini neno litasimama
Badilisha vyovyote ila ubadilishe style zako bila ku-add Fake Hair, easy as pie
Sio kukariri the truth to be spoken bila unafiki wowote ule. Mwanamke anayejielewa kumbe una mu classify kwa ua own criteria haya sasa majanga usiki judge kitabu kwa kutazama cover chimbua yaliyomo ndani. Sasa ndo watafanya tu it's genres zinazo muongoza mwanamke ndo mana ukikuta mwanaume anasuka anajiremba ni tukio la ajabu tofauti na wanawake. Ka roho zawauma na maweaving jibadilisheni muwe ka caitlyn Jenner michefuko ikizidi limao lihusike au jiki kabisa
Hata neno linasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Unapotumia neno kwa wrong interpretations hai make sense. Tena unapotumia kifungu kimoja kuhalalisha mtazamo hasi it's wrong.
As long as am comfortable na change tu nikijisikia na vile nchi yetu ni huru since December 1961 hapo mwendo mdundo tu
Jirembe utakavyo bila nywele bandia. Hilo tu
Other things remain constant (ceteris paribus), kwa upande wa wanaume, mwanamke with natural hair ana mvuto zaidi wa kimapenzi
Yaliyomo ndani ya kitabu yayafunuliwa tu, cover kwanza
Basi wanaume wametofautiana basi mie nitupie chochote ananikubali mno tena na kunisifia kwa sababu ana criteria zake hata ka hapendi hapo ni angetafta hamsini zake tu
Basi wanaume wametofautiana basi mie nitupie chochote ananikubali mno tena na kunisifia kwa sababu ana criteria zake hata ka hapendi hapo ni angetafta hamsini zake tu
Kwakweli Mimi pia huwa sipendi mawigi,huwa nayaona kama matakataka fulani hivi
Hamna chuki yoyote hapa,
Hujui kutofautisha kati ya kupendeza na kuvutia,
Nilivyosema 'general' niliongelea wale wahusika,
Kumpendezesha sio pamoja na kuweka nywele Fake, upo? atapendeza sana tu na nywele zake natural
Imenibidi tu nicheke kwa kweli maana hata sielewi msimamo wako ni upi,
Kama unataka kuwahubiria wanawake wavaa mawigs ni vema ukashusha neno sidhan km kuna angebisha humu sana sana wangekaa kimya na kukubali moyoni,
Ndio mana tangu mwanzo nikakwambia ungeliweka kidini ungekua sahihi ila ww umeliweka kidunia, full kejeli full dhihaka,
Ukitaka kumlingania mtu/kumpa ukumbusho wa kidini sharti usitumie maneno makali wala usimkejeli.
Nimemaliza mie.
Sio kwamba huelewi ila hutaki kuelewa
Naona hutaki kuambiwa uache kutundika hayo mavitu, endelea tu maana hujitambui, unashindwa kuelewa kwa nini wanaume 99% hatuzipendi ilhali we unaona unatokelezea
Hamna cha dhihaka, kejeli wala mtoto wake dhihaka, huo ni ukweli mchungu. Ngumu kumeza.
Kuna wenzako humu wameyahusisha na mapepo, inaonekana ukiambiwa hayo mambo kiimani zaidi ndo unaelewa, so, ukitaka mahubiri kuhusu hivyo vitu kuna maeneo ya ibada mpendwa katika bwana
Tatizo unatype kwa jazba ndio mana kuna maneno huyaoni,
Calm down first, hahahahaha
Nishakwambia MIMI SIYAVAI, VAZI LANGU NI HIJAB ila siwezi kumsimanga anayeyavaa as long as anajiona yuko huru akivaa wigs.
By the way kila mchungaji achunge Kondoo wake,
Unavyosema yanahusishwa na mapepo tambua pia ukizini ni uchafu na hao mapepo machafu hata wewe yatakuganda.
Hahaaaaa
So ,wewe huzivai kwa sababu unatumia hijabu au una sababu nyingine
Mi sio expert wa mapepo, kuna wadau ndo walisema mapepo yapo kwenye Fake hair za wanawake
Uchafu upi unaoongelea kwenye kuzini
Kati ya hoja kubwa zinazoongelea uhalisia hii ni mojawapo.Ahsante mtoa hoja. Tatizo hili wa kulitatua ni wanaume. Tufanye mgomo wa kiume,ukinwona na wigi jifanye humtabui na humtaki hata kama ni mkeo. Kama ni rafiki au mchumba mchunie. Wanadhani wanatuvutia na kwa kuwa hatususi wanadhani ndivyo tunataka wawe.