Lengo sio kuwapunguzia self esteem bali ni kuwapa somo kidogo ujue sometimes mnaweza mkawa ata mna mlaumu Mungu kwann hatuolewi. Ushawahi kaa na wanaume ukajua perception zao kwa wanawake wavaa mawigi ukawasikia?
Mh hapa watu wanaongeeea, wakati mademu zenu ndio wanaoongoza kuvaa mawigi, tena pesa za saloon mnatoa nyie wenyewe. Kama wig halivutiii msingekuwa mnatutongoza hovyo mtaani hadi inakua kero,,,
Sisi wenyewe hatupendi kuongozana na nyie MTU tumbo lile hata funguo ya bodaboda huna .....
That's your imagination if not hallucinations. Hujiamini wewe maana unazunguka zunguka, mara ni kampeni mara ushauri, mara unachukua wadada wenye wig usiku asubuhi unawaogopa! ! Waache wanawake na mambo yao
Usipanic maana hii ni kampeni + ushauri
Muulize shemeji vizuri kama anapenda wigi lako hilo ulilotundika hapo kichwani halafu ulete mrejesho, mwambie awe HONEST
Kama mwanaume hana nia ya kumuoa mtu hata utoe wigi hakuoi, usitudanganye hapa. Hao wanaume wengi mbona wanawaacha dada zao wavae/wasuke ni kwamba hawataki dada zao waolewe! ! Nadhani muanze kuwashauri mnao onana nao, huku mtandaoni hatujali.
Hii sio amri ni ushauri ukizingatia kuwa hazikuongezei mvuto wowote
Ungebaki na nywele zako ungevutia zaidi, hujui tu
Mm cna DADA naomba uwe DADA Wa kuadopt ili nikufundishe just pm right now lol!
Mimi ni mwanamke but nimejikubali usichana wangu mpaka naolewa hayo makitu siyapendi huwa napata shida kufikiri joto la Dar hayo makitu kichwani, kwa joto hili napenda nilifika home nywele yangu maji yapite nipate kujisikia raha na mume wangu huwa ana enjoy kushika nywele zangu
Mawigi yanakera kiukweli kuna siku nilikuwa na demu flani hivi nikaenda kumla uroda alikuwa amevaa wigi wakati na mla uroda ghafla akanogewa akaanza kulia kwa mahaba na mikiki mikiki ya nguvu niliyokuwa na mpa si ndio nikawa na mchezea nywele wakati nafanya mambo yangu hamadi wigi likavuuka akawa ananuka kichwa kizima lile wigi sijui lilivunda i dont know! Kiukweli hadi stim zikakata maana nilihisi dampo la muhimbili limehamia pale lile wigi lilikuwa linanuka hatali.
Tayari nina kaka wa kutosha, nafasi zimejaa.
Hapo bado hujaongelea makeups zao..Yani wengine ukikutana nao barabarani unajiuliza leo ni Halloween day ama
Mawigi yanawasaidia sana,wengi nywele zao vipilipili zimejaa mmba
Naona ushaishiwa pumzi, hukujua urefu wa huu mlima kabla ya kuamua kuupanda, pole
Mimi ni mwanamke but nimejikubali usichana wangu mpaka naolewa hayo makitu siyapendi huwa napata shida kufikiri joto la Dar na hayo makitu kichwani, kwa joto hili napenda nilifika home nywele yangu maji yapite nipate kujisikia raha na mume wangu huwa ana enjoy kushika nywele zangu
Nilishakwambia huna ubavu huo, huna msimamo unawabeba wadada wenye mawigi wewe mwenyewe, unajifanya uko kwenye kampeni baada ya kugundua ushauri haulazimishwi.
tutabishana mpk mwakani nikijisikia kukubishia, maana sijali ndo maana mbinu zako zote za kutukana umeona sijibu personal ila pale unapojifunga mwenyewe nimekujibu.
Man up, kuna mambo ya maana zaidi ya wigi waache wanawake na mawigi yao.
Unamaanisha tuwaache wanawake wanaovaa mawigi na ulimbukeni wao?
Nawapenda wanawake wanaojitambua na wasafi kama wewe
Sio kama wengine humu walioshikwa masikio