wanaume nyie hamueleweki hata kidogo,utasema natural hair akipita aliyevaa wig macho yanakutoka kama unataka kukata roho.hebu mutuwache
Kimsingi hapa tunachofanya ni kucheza na saikolojia zenu. Tuna-hit kwenye palipo na esteem zenu, mnashusha standards, we get laid easily and cheaply. Ni strategies tu. Single mothers na 30s & singles wajiandae.Uwiiiiii!! Vitambi ni janga hujui tu, nawashangaa mnavyovitetea, na bahati nzuri zile hata doctors wanaviongelea, hii ya wigs sijui make ups ishasemwa sana humu jf ujue, nilitegemea mngekuja na mrejesho sasa kuwa mmefanikiwa kwa kiasi gani, maana biashara ndio inapamba moto.
wengine rangi rangi kibao kichwani kama bendera khaa.
Macho yanatutoka kwa sababu ya kuwashangaa wala sio kwamba tunavutiwa nao
Lakini mwanaume anaweza kuangalia mengine kama sura, miguu, hips, tako, ziwa n.k huko nako kuna U-fake wake ila sio wa wazi kama wa nywele.
Kimsingi hapa tunachofanya ni kucheza na saikolojia zenu. Tuna-hit kwenye palipo na esteem zenu, mnashusha standards, we get laid easily and cheaply. Ni strategies tu. Single mothers na 30s & singles wajiandae.
Sadaka natolea wapi?Sasa Mbn Hutoi Sadaka?
Uwiii tokea mmeanza kusema yaani biashara ndio inapamba moto, maana hamjaanza leo ujue, unadhani nakushangaa ukisema hivyo basi, mayb angesema mwingine.
Teh teh..Sijakuona kwenye kwaya leo mpendwa..Au ulikuwa unapenzisha
hujui tu ni kwa jinsi gani wig zinawaweka wadada mjini,vinginevyo tungekimbiana
Hahaha. Atoto mara nyingi sana hunielewagi. But anyway, ngoja tuishie hapa.Aaaah wapi labda mngehamia kwingine, huko kushachuja hakuna jipya kabisaaaa, alafu kulishastukiwa kumebaki kwa wavulana wenye stress na wenye low esteem wanaotafuta angalau nao wasikike na waonekane, didnt thot yo1 of them kumbe i was wrong!!!
sema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG
Mpendwa, si ungetupia tu ile kofia yako ya CCM? Tungeelewa tu. Kwaya ilipwaya sana bila wewe. [emoji41]Nimemisplace wigi langu mpendwa, nimeshindwa kabisa kutoka
Aliyekwambia huko Muhimbili wanatafuta vijipu vichwani ni nani?
We pesa ndogo hata utake milioni na wigi la laki au weaving ya billion na Kwa taarifa yako huwa cwafuati tunakaa nao kwenye dala dala hiyo unpleasant smell nimbaya sana natural hair for the best stylish girls cyo unanukanuka kaa bi kizeee