kumteme
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 282
- 162
Niende kwenye mada, ni hivi hawa dada zetu baadhi wanaovaa mawigi na wanaosuka ni wachafu balaa
Yaani ukinusa mawigi au misuko yao yananuka balaa sababu hawanawi maji kichwani wanaishia shingoni tu.
Kwahiyo dada zangu badilikeni ogeni mwili mzima mnatuboa.