Kuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.
Kuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.
Dah ila wanawake wanapigwa spana humuu, wasipoolewa spana wanaojiongeza kama hv nao spana ya kichwa?? Ok swali langu mtoa mada umejuaje?? Umefanya utafiti vp?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.