Inkotanyi 94
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,244
- 4,031
narudia tena. marriage is a dying institution. wanaume kwa wanawake hakuna anayehitaji sana ndoa unayotaka wajibane kuipata mana hawaon mfano bora kwa walioko humo zaid ya stress na majanga. Nani atajibana kujitunza kwa ajiri ya malaya wa kiume. kwa kadri wanawake wanavyozid kujikomboa kiuchumi ndivyo ndoa inavyopoteza uhitaji wa msingi. wanaohitaji wanawake kama asset na si marafik wenza wataishia kufa kwa stress na migogoro. Wenzetu wameshakata kamba hawafugiki tena vzuri. Kama hujaoa achana navyo. kuna mambo ya maana ya kufanya. tafuta pesa na maarifa basi. Najiuliza kwanini kwa wanaoamin biblia hawaoni hata Mtume Paulo aliitaja ndoa kama plan B. Plan A ni kuishi mwenyewe.
ukiona mpaka nimeamua kukutunuku ujue me mwenyewe nilikuwa nawashwa