mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #61
Hahah mkuu naomba hii proposal tuipeleke magogoni na idhaminiwe na zile pesa za makanika.
Lazima tupambane na hali zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tupambane na hali zetu
Itabidi tuanzishe kampeni ya TUNZA BIKIRA KWA MAFANIKIO YAKO KIUCHUMI na hii iende mtaa kwa mtaa na kilele itakuwa ni siku ya wamama duniani na mgeni rasmi atakuwa (tutatafuta mdada mmoja hapa jf mwenye bikira afanye hiyo kazi) Kwa wale ambao watakaogushi bikira watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kubadilishwa kuwa ME
Sent using Jamii Forums mobile app