Wanavyosema kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Heri mimi sijasema!

πŸ™‚
 


Samahani mkuu,

Mimi sitafanya hiyo kazi. Chema chajiuza, kibovu chajitembeza. JF haina haja ya kutafuta kupigiwa debe wala upatu! Badala yake wanaojaribu kuiponda ndio wanaoifanya hiyo kazi. Sisi tuendeleze kibarua chetu cha kuwasha moto. Tukianza kazi ya Tambwe Hiza tutapoteza mwelekeo. Huko msinihesabu!!
 
mkuu nimekusoma.
Mimi nilikuwa najaribu kumwelimisha mgeni wetu humu kuwa awe makini kabla ya kupost chochote. Kwa mfano nilipojiunga mimi nilichukua muda zaidi ya wiki mbili au tatu kabla sijaanza kupost. unajua kwa nini? nilikuta ni jukwaa tofauti na niliyoyazoea na pia nyingi za post humu nilikuta ni nondo kali hivyo nikawa najipa twisheni ili nisije kupotoka kama Yessir.
Ila amenikera kweli huyu dogo. Anasema JF ni ya kifisadi ina maana sisi wote humu ni maamuma? hehehe
 
yessir
Member
Join Date: Fri May 2009
Posts: 34
Thanks: 3
Thanked 5 Times in 2 Posts

Wale wale wanaosema kwaheri JF wanakuja na ID nyingine! Loh... Siwezi poteza muda wangu kwenye hili.
 
yessir
Member
Join Date: Fri May 2009
Posts: 34
Thanks: 3
Thanked 5 Times in 2 Posts

Wale wale wanaosema kwaheri JF wanakuja na ID nyingine! Loh... Siwezi poteza muda wangu kwenye hili.

kwaheri tafadhali!
 

nimekupata mkuu,nashukuru
 
mkuu
sijakuona ukiongea au huwa unaongea kama unavyopost? I mean unaongea caps ukichanganya na bold ndani yake?? si wengi wanasoma posts zako kaka. punguza munkari
 

Mkuu wangu FM, unachokisema ni kweli tupu, hata hivyo nimepingana na Yessir na ninaendelea kupingana naye kwasababu ya falsafa yake. Ni rahisi kusoma au kutambua falsafa ya mtu unapounganisha maandiko yake kadhaa.

naomba twende pamoja hapa
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
baada ya hapo

mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu
jibu alilolipata ni hili hapa chini

the fact remains still kwamba JAMII FORUMS INASEMWA NI FORUM YA KFISADI..why and how,thats for you to find out..after all looks like you have been here for a long time
Hizo ndo post za Yessir, you can see huyu member mwenzetu ana-infer kuwa kwakuwa mwanakijiji ni fisadi na ni mtoto wa fisadi basi JF ni forum fisadi. Dhana hii si kweli kwani hatujui nani fisadi na nani si fisadi kati yetu, pili JF haizuii mawazo ya mafisadi kuandikwa. Na endapo fisadi ataandika mawazo yake humu hiyo haileti maana kuwa ni forum ya kifisadi.

Baya zaidi ni maudhui ya post za Yessir kutaka JF members wamchukie Mwanakijiji na kuondoa umoja na heshma iliyopo.

NB: Mkuu FM ni kweli kuwa baadhi ya watu hawaipendi forum hii kwasababu inawaweka wazi hasa udhaifu wa Serikali na Parastatal zake. Hata kuchukiwa huko au kusemwa vibaya si kwasababu ya Mwanakijiji. Why not you FM?, FMES?, Invisible?, Halisi? Gembe?, GT? Mwiba? Rev. Kishoka? etc.
 
Kwa hiyo mnataka kutuambia kuwa hakuna wanaoyasema hayo anayodai Yessir?

Amandla...........
Kwa hakika nashangazwa na jinsi ambavyo watu wamelipokea bandiko hili, au labda mimi sijalielewa sawasawa.
Kama akili yangu bado inafanya kazi vema, Yessir ametudokeza kwua katika zungukazunguka yake amekutana na waungwana wengine huko nje ambao wanajadili masuala ya JF. Sidhani kama kutujuvya hilo ni vibaya kwa sababu inatusaidia sisi humu kujua wengine wanasemaje juu yetu.
Pia akaenda mbali zaidi, akaangalia hayo majadiliano na kuja kutudokeza kuwa kati ya wanayoyasema ni haya. nadhani hapa tulipaswa kumshukuru pia kwa sababu anatuonyesha jinsi ambavyo tunavyojadiliwa huko nje.
Kisha, akatoa maoni yake kwa mtindo wa onyo kwua inapaswa tuwe macho kwani hayo ndiyo yanayosemwa kuhusu JF huko nje. jamani, kuna kosa gani katika kufanya hivyo hadi ashambuliwe?
 
Yessir

Kama wafikiri JF ni kijiwe cha mafisadi na MMK amecorrupt kila mtu hapa, nadhani either umepotea njia na uko mahali usipostahili. Unaweza ukaaga ukaenda zako, you wont be missed at all. Kama umetumwa waambie salaam zimefika gadem!
 
Mkuu Nziku
nashukuru kwa kuona hayo ambayo nilikwishayaona tangu anaanza kupost.
Kama tetesi inaletwa na mtetesaji anasimamia tetesi ambazo hata source yake haijaainishwa wazi basi ni kweli Mafisadi wameamua kudeal na mtu mmoja mmoja ambao wanajitia kimbelembele kuwafichau mafisadi.

wakimaliza na mwanakijiji watahamia kwa mwingine mpaka mwisho watamalizana na invisible. Hivi hawajui kuwa bangi haina kiwango mpaka inapokaushwa?
 

hey wewe,ukishafahamu source then usaidiwaje.. utawafata au ni nini hasa?
 
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round

Ingekuwa vizuri kule ulikosikia hayo maneno ungepasite ili watu nao wawezi kuvisit au kutafuta info kama zinapatikana kuliko kusema tu kuwa kuna rumours mwingine anaweza kuhisi unajaribu kutafuta watu wanafikilia nini juu ya hilo au unajaribu kuanzizha topic tu. Bila kuweka maanani.
 
Bangi nibangue ! mkuu acha kubadili majina na punguza uzushi...na mashuzi

πŸ™‚πŸ˜€πŸ™‚ yawezekana huo ndio ukawa mchezo wako,na ndio maana kila mtu unamuhisi

anyways.. i rest my case.. and have a good morning everyone
 
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round

Duh! natamani kama Yessir ungekuwa nafasi ya MKJJ then uone ulichoandika hapa kina athari gani no matter who said what??

Mzee ikiwa wewe kila unachosikia katika maisha yako unakisema basi una hatari sana, ukisikia mkeo katembea na fulani utarudi home na kumwambia kama kweli acha mke wangu!

Haya unayoonyesha haoa ndio yamerudisha watanzania wengi nyuma kwenye mapambano na mafisadi! tunakatishana tamaa sisi wenyewe!

Kuna watu kuna siku watsema Yessir wewe ni fisadi , utaenda kwenye kioo na kujiandika na kusema Yessir amka kama kweli!

HAKUNA ALIYESEMA POPOTE PALE, HATUJASIKIA POPOTE PALE TANGU JF IMENZA WEWE NDIO WA KWANZA KUSEMA HIVI , HII NI WEWE UMESEMA LABDA ULETE VITHIBITISHO!

nasikia wewe ni Rostam(original)! maana majina yote haya ya kiiran!
 
wewe webiro sijui,yani unadhani rostam ana muda wa kukaa hapa jamii forums na ku pose as yessir na ana kazi ngumu ya kulitumikia taifa na igunga. GIVE ME A BREAK
 
Yego wasu,

Ivi kweli mtu waweza sema "The observation might be true." nisha wambia kama huwezi pambanua jambo husilo lijua au lifahamu basi hilo jambo halikustahili wewe ulifuatilie au kulijadiri ati imekuwa "Corrupted na Mwanakijiji!!!!"

Gademu!!!!!! toa maoni yako wewe unavyo jua usidhanie kitu, ni kuwa huna upeo wakujua hili ni baya na sio baya???

wote humu mwachangia mawazo na si dhani kuwa kuna mtu anaku vutia wewe uende upande wake au upande fulani??

Am sure no one is corrupted na mwanakijiji ndani JF

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…