Wow,Mimi humu kinachonishangaza yani ukiwa upande wa pili usio wao unashambuliwa na payroll za RA wao ukiwapeleka kwa staili hiyo hiyo utasikia marefarii anavunja sheria za JF afungiwe etc.
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
kijana naona umejiunga hivi karibunihujakatazwa kwenda kijiweni kunywa kahawa na kucheza bao bwan'mkubwa
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
MkuuKwa hiyo mnataka kutuambia kuwa hakuna wanaoyasema hayo anayodai Yessir? Hii intolerance kwa mawazo tofauti imetoka wapi?
Amandla...........
Jamani hapo juu hizo ni challenges kwa ajili ya kujenga -- hata nchi yetu watu hawapendi changamoto na kukosolewa ndio maana mpaka leo hii tuko hivi lazima ukubali ukosolewe ujue udhaifu wako ili uweze kujijenga na kujiimarisha zaidi
Mimi humu kinachonishangaza yani ukiwa upande wa pili usio wao unashambuliwa na payroll za RA wao ukiwapeleka kwa staili hiyo hiyo utasikia marefarii anavunja sheria za JF afungiwe etc.
Wapeni watu uhuru wa mawazo ,kinachoendelea humu sometimes ni VIRTUAL COLONIZATION ya kwamba lazima uwe upande wetu ? utafikiri memba humu wengine ni wanyama waendeo marishoni yani ya kwamba lazima wafuate njia aipandayo bwana wao
Afterall who is RA ?tumewashindwa MAFISADI wa KWELI waliopanga madili eti tunakuja kukurupuka na RA.
Kwa pesa za EPA na zinginezo role ya RA inafanana kabisa na ya Balali ma BACKBONE wa dili twawafahamu nao wa fahamu kumshitaki RA ni kumwonea maana wezi ni wao.
Hivi wewe ikitumwa kuondowa moshi unaowasumbua utaenda kuzima moshi ama utaenda kuzima moto.
kwa mtazamo wangu WANASIASA wote wanaojidai eti wanafanya mapiganio ya mustakibali wa Taifa ni wanafiki ni wazushi ,wanavyo vielelezo vyote wameshindwa kuvipeleka Mahakamani ama wameshindwa kwenda kushitakia ktk umoja wa mataifa kwanini hawaendi kushitakia kwa sababu kufanya hivyo HAWATAKUWA na HOJA MAJUKWAANI.
kijana naona umejiunga hivi karibuni
nakushauri tu ujipe homework ya kusoma rules za JF tena na tena ambapo natumai utagundua kuwa hili ni jukwaa huru hivyo hakuna domination humu.
humu hata kama mkuu robot akileta za kuleta tunampa live. hakuna kukopesha.
ila naona unachotaka kuleta humu ni uchonganishi na hasa hasa unatutoa stim zetu dogo.
inaelekea alfajiri umeamkia chai kwa kipande cha nguru wewe. nakushauri kunywa maji mengi utakaa sawa dogo.
shekhenakubaliana na fundi mchungo..
mnaonishutumu kwamba kama sipo kwenye hilo group ni mimi,mimi sikuijua jamii forums mpaka nilipokuja kuisikia nilipoisoma huko sehemu sehemu wakiisema vibaya!.. basically walisema ni forum ya kifisadi na mwanakijiji was mentioned! he is the only person i knew when i joined here. i havent had time to go through every post as you can see ni nyingi sana,so nilitaka kujua tu, kama humu kuna maendeleo au nisepe.. its as simple as that!..all you had to say was yes or no,naona watu wamejaza matuuuusi,wengine wananiandika essays.. who cares!? i dont... but the fact remains still kwamba JAMII FORUMS INASEMWA NI FORUM YA KFISADI..why and how,thats for you to find out..after all looks like you have been here for a long time
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
mimi siwezi kukulalamikia kwa Mods maana sina tabia ya kuwachongea watu. ila najua unatoa mawazo yako na una uhuru huo. Mimi siyo kiziwi wala kipofu. naona na kuchungulia pia pamoja na kusikiliza kwa makini mivumo ya hela zilizofisadiwa zinapohesabiwa.msanii kweli wewe msanii! haya hongera.. and the point is? kukukata stimu wewe mimi hainisumbui.. usipende kila mtu afuatane na chochote unachosema wewe.. hii haiwezekani. sasa kama hii forum haikusifiwa nilipoisikia unataka nitunge.ebwanae.. ngoja nile zangu kuongea na wewe ni sawa na kuongea na kiziwi
Sasa Shy, nani amekosolewa hapa? Wewe unakubaliana na mawazo ya Yessir kuwa wanasema JF iko corrupted na M.M.Mwanakiji?
Mkuu
unajua mtu anapolazimisha hoja zake bila kuleta dataz inakuwa ngumu sana kumkubali.
alipaswa hapa alete uthibitisho ili tujadili na si kuamua kushambulia tu kila aliye mbele yake. pia angekuwa fair kututhibitishia huo ufisadi wa JF ili tuuchambue kama tunavyofanya kwa mafisadi wenzake. halafu kikubwa sana huyu bwana mdogo anapaswa kwanza kujifunza kufua nepi zake ndipo ataweza kusimama na kutembea.
nakubaliana na fundi mchungo..
mnaonishutumu kwamba kama sipo kwenye hilo group ni mimi,mimi sikuijua jamii forums mpaka nilipokuja kuisikia nilipoisoma huko sehemu sehemu wakiisema vibaya!.. basically walisema ni forum ya kifisadi na mwanakijiji was mentioned! he is the only person i knew when i joined here. i havent had time to go through every post as you can see ni nyingi sana,so nilitaka kujua tu, kama humu kuna maendeleo au nisepe.. its as simple as that!..all you had to say was yes or no,naona watu wamejaza matuuuusi,wengine wananiandika essays.. who cares!? i dont... but the fact remains still kwamba JAMII FORUMS INASEMWA NI FORUM YA KFISADI..why and how,thats for you to find out..after all looks like you have been here for a long time
Lakini umeyawakilisha wewe.do NOT quote me for something that isnt true..i repeat do NOT quote me. sikusema hayo ni mawazo yangu